Miiku
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 3,835
- 2,642
Laki si pesa sijui kanga moko ni matatizo!! Soma elewa mada sio unakurupuka tu ili mradi ubishane ushazoea kutetea uozo wa chama baasi
Jinga kabisa hilo linadhani ndio litapata umaarufu. Kwa fake Id?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Laki si pesa sijui kanga moko ni matatizo!! Soma elewa mada sio unakurupuka tu ili mradi ubishane ushazoea kutetea uozo wa chama baasi
Naona baadhi ya watu wakiona jina la mchaga viroho huwa vinawauma sana,, hamuwawezi hawa jamaa,, wataendelea kuwa juu, so just join them... Period!!
Unaweza kujifunza kitu kwa awa vijana wenye umri chini ya miaka 30 lakini kwa ubunifu na juhudi zao wamefanikiwa kuwa matajiri.
LORNA RUTTO,Mkenya
Ana miaka 28 ndio mwanzilishi wa ECO POST, kampuni inayotengeneza nguzo za fensi kwa kutumia mabaki ya plastiki, ikiwa ni mbadala wa kutumia miti. Eco Post inakusanya mabaki ya plastiki na kutengeneza nguzo za kuweka fensi.
![]()
PATRICK NGOWI,Mtanzania
Ana miaka 28 ni mwanzilishi na mmiliki wa HELVETIC SOLAR CONTRACTORS. Ngowi alianz biashara akiwa na miaka 15 alipata mkopo kutoka kwa mama yake kwa ajili ya kuanzisha iyo biashara yake ambapo awali alianzia na biashara ya simu za kichina. Baadae aliamia kwenye hii biashara ya umeme wa jua haswa kwa maeneo ya kaskazini mwa Tanzania. Mwaka jana kamupuni ya Ngowi ilitengeneza dola za kimarekani millioni 3.
![]()
EVANS WADONGO, Mkenya
Wadongo ana miaka 26 alibuni taa ya kutumia chaji ya mwanga wa jua inayoitwa MwangaBora. Ubunifu wake ulisaidia kupunguza kero ya kutumuia vibatar
i na chemli za mafuta ya taa sehemu za vijijini mwa Kenya.
![]()
JOEL MWALE, Mkenya
Mwale ana miaka 20, anaendesha kampuni ya SKY DROP. Kampuni yake inazalisha maji ya kunywa yanayotokana na kukusanya maji ya mvua kuya-treat na kuuzwa kwa bei chee. Pia inazalisha na kusambaza bidhaa zinazotokana na maziwa.
![]()
OLUWASENU OSEWA,Mnaijeria
Mwanzilishi wa mtandao wa Nairaland. Nairaland ndio forum kubwa Africa yenye memba (Active members) zaidi ya milioni 1. Kwa Naijeria mtandao wa Nairaland inatembelewa na watu wengi kuliko ata Wikipedia.
![]()
Ha ha ha a graduate from UDBS trying to show his smart a.s.sUzi wako ni mzuri na una mafunzo but all in all jifunze kutofautisha kati ya entrepreneur and businessman/businesswoman.
Kama ni waanzilishi wa makampuni mbona wako wengi sana lakini hawatajwi.? Nenda Brela uone kuna maelfu ya makampuni ya watu mbona hawatajwi anatajwa ngowi tu? Forbes wanamaanisha VIJANA WENYE PESA sio makampuni. Kuna kampuni nyingi tu zina mtaji hata milioni tano haifiki. We bibi unajifanya unajua kila kitu kumbe zuzu tu. Hiyo bilioni 200 kubwa kwako kwa wengine ni hela ya mboga tu
Hizo takwimu wanachukulia wapi hapa Songea kuna kijana mmoja ana miaka 19 alipata madini aina ya saphire yenye thamani ya bilioni 200