Jifunze lugha za kigeni ndani ya JF

Dah sikufahamu darasani, hapa itawezekana kufahamu mkuu
 
Seni Beliyorum...kitu kituruki mkuu!
 

Kifaransa tuanze nacho
 
Nafikiri tuanze na Kiswahili, coz bado kuna shida ya matamshi hapa
 
Sawa wandugu kesho jioni panapo majaaliwa nitaanza rasmi na lugha mbili, yani kifaransa na kituruki. Hivyo basi wale ambao wamechagua kifaransa watapata darasa lao na wale ambao wamechagua kituruki watapata darasa lao. ZINGATIO: kama ni kweli una nia ya kusoma moja kati ya kozi hizo mbili si vibaya ukawa na daftari maalum kwa ajili ya kozi hiyo. Karibuni wandugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…