Tuanze na kifaransa mkuu!
J'aime le francais!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuanze na kifaransa mkuu!
Kihispania..Hasta la vista
Je mappelle Munkari !! comma nti ta pelle ?? ha ha ha!
Kiarabu
Habari zenu wandugu. Basi kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nimeamua kutaka kumwaga darasa humu jamvini kati ya lugha zifuatazo: KISOMALI, KIARABU, KIFARANSA na KITURUKI.
Hii naona itasaidia sana watanzania mana naona wengi wenu mnajua kiswahili tu na english ya kugongagonga. Hivyo basi inabidi wanajamvi mchague tuanze na lugha ipi? Lugha itakayopata kura nyingi ndiyo hiyo tutakayoanza nayo.
Karibuni wandugu.
"Je mapelle coupe coupe bimbamba..... Awilooo...!!" hapo na mimi hamjaniacha ..hahahaaa
kwaaaa! kwaaa!le Tanganyiken!
Kiarabu