Jifunze lugha za kigeni ndani ya JF

Jifunze lugha za kigeni ndani ya JF

Mimi nataka kisomali..........hivi zaidi ya Somalia.......naweza kukitumia wapi tena........?
 
Napenda kifaransa na kijerumani na kichina kama utafanikiwa kuanza lugh yoyote niite tafadhali Mndengereko
 
Last edited by a moderator:
Napenda kifaransa na kijerumani na kichina kama utafanikiwa kuanza lugh yoyote niite tafadhali Mndengereko
 
Last edited by a moderator:
Mie nataka kufundishwa kikorea ili zile series niwe nazifaidi vizuri
 
Habari zenu wandugu. Basi kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nimeamua kutaka kumwaga darasa humu jamvini kati ya lugha zifuatazo: KISOMALI, KIARABU, KIFARANSA na KITURUKI.Hii naona itasaidia sana watanzania mana naona wengi wenu mnajua kiswahili tu na english ya kugongagonga. Hivyo basi inabidi wanajamvi mchague tuanze na lugha ipi? Lugha itakayopata kura nyingi ndiyo hiyo tutakayoanza nayo. Karibuni wandugu.

nasılsın dostum?
 
Back
Top Bottom