Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu unaongea lugha gani?
...Hahahah!!! Usihofu mkuu na wewe utajua tu, jumamosi tunaanza na kifaransa.
Habari zenu wandugu. Basi kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nimeamua kutaka kumwaga darasa humu jamvini kati ya lugha zifuatazo: KISOMALI, KIARABU, KIFARANSA na KITURUKI.
Hii naona itasaidia sana watanzania mana naona wengi wenu mnajua kiswahili tu na english ya kugongagonga. Hivyo basi inabidi wanajamvi mchague tuanze na lugha ipi? Lugha itakayopata kura nyingi ndiyo hiyo tutakayoanza nayo.
Karibuni wandugu.
Mimi nataka kisomali..........hivi zaidi ya Somalia.......naweza kukitumia wapi tena........?
Washindadhe aisee mrewahooo
Itakuwa poa