Jifunze mapishi na namna mbalimbali za kupika mkate

hahahahahah mnanisema mm nn????
Ciello tunakusema kwa mazuri... Familia yetu tunakupenda tunataka uwe unapika... Nilisikia umbea eti wewe mvivu kupika. Ni kweli? Lol

Afadhali hata Amina Thomas na Thanda.. Majina yao yanaashiria ni wapishi wazuuuri! :becky:
 
Last edited by a moderator:
hahahahahah mnanisema mm nn????

hatukusemi mai dia ila njoo huku jifunze kupika hata hao wa 1nite stand anaweza akabadili mawazo akikuta menu nzuri atiii hahahahh!
 
Shem nimekuitika.

Kwa jinsi navokujua ulivo mroho wa Amarula, nimekununulia ya kunywea hapa na ya kuondoka nayo.

Usichelewe tafadhali, nimekumisi nna hamu yako.
 
Last edited by a moderator:
Ciello tunakusema kwa mazuri... Familia yetu tunakupenda tunataka uwe unapika... Nilisikia umbea eti wewe mvivu kupika. Ni kweli? Lol

Afadhali hata Amina Thomas... Jina lake linaashiria ni mpishi mzuuuri! :becky:
hahahah! dada yangu kwani kwa majina utawatambua basi?? manake mie la kwangu ni baya ile mbaya ila kwenye upish wewe mwenyewe husema sinaga mpinzani. sasa wataka kuniambia Angel Msoffe ni mpish mzuri kwasababu ya jina lake?
 
Last edited by a moderator:
Shem nimekuitika.

Kwa jinsi navokujua ulivo mroho wa Amarula, nimekununulia ya kunywea hapa na ya kuondoka nayo.

Usichelewe tafadhali, nimekumisi nna hamu yako.
umnunulie za familia nzima basi
 
Uji wa maziwa unaendana na Guinness The Power? Au unataka kuniadhirisha mbele ya wakwe na watoto?
 
Shem nimekuitika. Kwa jinsi navokujua ulivo mroho wa Amarula, nimekununulia ya kunywea hapa na ya kuondoka nayo. Usichelewe tafadhali, nimekumisi nna hamu yako.

Usijali shem... Come tommorrow am all yours. Hutaweza ni miss hata miezi 6 ijayo usiponiona... :dance:

hahahah! dada yangu kwani kwa majina utawatambua basi?? manake mie la kwangu ni baya ile mbaya ila kwenye upish wewe mwenyewe husema sinaga mpinzani. sasa wataka kuniambia Angel Msoffe ni mpish mzuri kwasababu ya jina lake?

Hivi chezeiya Angel Msoffe wewe! Mie nahisi hata akiweka chakula katika chombo chake kwa kukiangalia tu chakula kinajituma na kujipika chenyewe! Lol
 
Last edited by a moderator:
Uji wa maziwa unaendana na Guinness The Power? Au unataka kuniadhirisha mbele ya wakwe na watoto?

huu unatakiwa unywe mida kama hii, ili upate muda wa kula chakula cha mchana vzr b4 hujaenda kugida guiness.
 
Hivi chezeiya Angel Msoffe wewe! Mie nahisi hata akiweka chakula katika chombo chake kwa kukiangalia tu chakula kinajituma na kujipika chenyewe! Lol

hahahahh! basi nae tunamwita aje atupikie hapa wajua huu ndo wakatii wa kujifunza mapish mapya atii.
 
sasa wewe nenda kampikie mama Thanda leo tena uschelewe saa 12 tu rudi home anza kazi keso asbh mtakunywa chai tamu kweli.

Na alivyo na mapenzi ya kweli na mimi atanifurahia sana...kwa kawaida huwa napika.. mimi ni mpishi mzuri sana, nilijifunza mapishi wakati fulani na bado naendelea kupika. Kuna aina ya vyakula ambavyo siku tukiwa na ratiba ya kuvila, Thando (Wife) anakaa mbali kwani hizo recipes ni za ukweli.

recipe ni za ukweli wewe mpikie uone.
 
Dada AshaDii yani jamani nimeogopa sana nilipoona umeniweka kwenye hiyo listi,
Yani nakwambia mimi kwa Upishi Balaa, au sikukwambia kama nilikuwa Chef msaidizi pale Golden Tulip (from 2006 to 2007), Beach Comber (from 2008 to 2009) then New Africa Hotel (from 2009 to 2010) hadi nikatunukiwa Awards!!!!!!!! AshaDii mimi ni mkali sana kwenye kupika, hakuna chakula nisichoweza kupika hapa Duniani Coz Najua karibia vyakula vyote wanavyokula Mataifa Mengine.
Sema muda huu nimejibweteka sana.

Hivyo Hiyo listi me Kushneyyyyy........
 
Last edited by a moderator:

Mie hata sikubishii.... hahaha! Mtu yeyote mwenye imagination kali kama zako za mambo yale kuyafananisha na kuendesha gari sio mchezo! ha ha ha (I know you are blushing rite now... Lol)

Nitakuja lunch siku moja nikiwa na wifi zangu sweetlady na King'asti na mdogo wangu gfsonwin - Bahati mbaya wote tunapenda kula!
 
Last edited by a moderator:

Bado natafakari hiii post.... Nitarudi! BTW.. So proud of you kuwepo viwango hivo. Nakuonea wivu tayari... Lol.
 
mimi pia napenda kula,karibuni sana. nikikupikia dagaa maziwa, au red meat with ile gesi ya coke utaipenda sana. mag makanwala( buttered chicken) ndio usiseme...leo napata BRUNCH. na muda ndio huu.

Bado natafakari hiii post.... Nitarudi! BTW.. So proud of you kuwepo viwango hivo. Nakuonea wivu tayari... Lol.

Nadhani hata uwepo wangu hapo nijitihada zangu Binafsi, coz si unajua kufanya kazi Chini ya Wamiliki wa Kihindi na Mpaka wakukubali............!!!!!!!!!!!!!!!
Ni Kazi Sana..........!!!!!!!!!!!!!
Ila ndo hivo.
 
unajua kwann mie sikukuweka hapa nilijua wewe uko juu kimapish ila nilifananaisha na mkoa ulotokea sikuwaza kabaisa kwamba umewah kufanya kazi ya upish. i love that. na najua sasa unaweza kuwa mwl mzuri sana wa mapish hapa jamvini lol!
 
Nadhani hata uwepo wangu hapo nijitihada zangu Binafsi, coz si unajua kufanya kazi Chini ya Wamiliki wa Kihindi na Mpaka wakukubali............!!!!!!!!!!!!!!!
Ni Kazi Sana..........!!!!!!!!!!!!!
Ila ndo hivo.
hongera sana mwl uzuri wa waalim ni multi disciplinary.
big up ma dear.
 
mimi pia napenda kula,karibuni sana. nikikupikia dagaa maziwa, au red meat with ile gesi ya coke utaipenda sana. mag makanwala( buttered chicken) ndio usiseme...leo napata BRUNCH. na muda ndio huu.

mmh! sasa napata idea hapa, sijui tufanyeje ila da AshaDii tusaidiane naomba iwe hawa wote tutakao wapa kama professional cooks wawe wanatufundisha jinsi ya kupika mapish mageni wazo liwe hivi Madame B Thanda hawa ni professional cooks sasa tuongeze na wengine watupe ujuzi zaid sie tufuatilie recipes tu halafu siku tutaalikana wote ambao ni memba wa jukwaa tuje na pishi ambalo tumejifunza ili tuonje je tunasoma kweli ama la??
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…