wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Kabudi alipasua,Mwigulu 1st class UD lkn wanayoyafanya hayaonyeshi dalili za usomi.Kama hauna uhitaji usi complicate vitu. Sina uhakika kama una first class hapo ulipo ila mind you sikuwahi kupata hata B in my college time, nikifeli sana nilipata B+.
wacha maneno mengi leta account ya github. tuone huo uwezoKutokuwa na mwezi jf ndo kusema ujuzi nilionao unakuwaje? Mi jf kitambo sema akaunti ya kwanza id ilikuwa compromised nikatemana nayo.
Sawa mkuu, mafanikio mema.Ni kweli mkuu, huyo jamaa amekuja vibaya tu, kaleta ujuaji kama umeona reply yake ya kwanza so nimemjibu alivyotakiwa kujibiwa.
Karibu, hapo nimetaja wanafunzi kwa ajili ya ofa kujifunza bure, mtu yeyote anaweza kujifunza. Pia unaweza kuwa hutaki javascript unasema lugha unayotaka tunakubaliana bei.Vipi ambao sio wanafunzi yani walisha maliza shule na chuo kitakbo lakini wanataka kujifunza?
Karibu kiongozi, javascript kwa ujumla inatumika sana katika website development. Kazi yake kubwa ni kuwezesha kutengeneza website zenye mwitikio. Hii hufanyika kwa kubadili tabia za tabia na tags zilizoandikwa katika HTLM na CSS( hizi sio programming languages).Mkuu naomba mfano wa japo kitu kimoja kilichotengenezwa na hiyo javascript ili niweze kuelewa. Kwenye masuala ya IT mi ni mweupeee!
Mi nikisikia script basi nakimbilia kwenye uandishi wa filamu.
Nalog off
Ahsante sana kwa ufafanuziKaribu kiongozi, javascript kwa ujumla inatumika sana katika website development. Kazi yake kubwa ni kuwezesha kutengeneza website zenye mwitikio. Hii hufanyika kwa kubadili tabia za tabia na tags zilizoandikwa katika HTLM na CSS( hizi sio programming languages).
sasa kama wewe una account github unataka kujiunga na hilo group bado?Huna hata mwezi JF. Nomba account id yako ya github kabla sijalipia nijirizishe
yeye Anachotaka ni hela.mkuu mimi naomba unisaidie kuna app inaitwa termux nahita kujua kuitumia ili kutengeneza payloads kama sijakosea je nijifunze language ipi? mi sifuri kabisa kwenye mambo lakini nataka niwe hata script kid
Umenena vyema mkuu, tatizo letu wabongo wengi unatuponza ujuaji, binafsi napenda Sana kufundisha japo sio mwalimu by pro. Hata nilipokuwa shule( o level & A level) Kuna watu walikuwa chini yangu kwa performance lakini baada ya kuwafundisha wengine walinizidi kabisa na Kuna mda niliwafata kupata concept kwao, kufundisha sio kujua Kila kitu. Wengi wetu tunajenga chuki mtu anapokuzidi Jambo flan. Ndio tatizo hilo.Wazo lako ni zuri. Kutaka kufundisha watu na kidogo unachokifahamu si haba.
Watu wanashindwa kuelewa kwamba mtu yeyote anaweza kufundisha ilimradi anafahamu kidogo tu kuliko watu anaowafundisha.
Sasa mtu anataka kufundishwa na mtu mwenye expertise ya kutengeneza global softwares wakati hata console.log hajui.
Sa nyingine walimu wazuri ni wale ambao hawajui sana kuzidi wewe.