Jifunze TENSES hapa

' They don't their ina that bus' hapa ndio unamaanisha hawakuwepo kwenye bus?
Hahahaaaaaaa...... Kumbe ni wengi hatujui lugha ya malkia!?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji848][emoji848][emoji848]

T[emoji769]
 
" I went to collect the children to the Dar express bus service but they don't their in that bus "

No hivo bro

Sent using Jamii Forums mobile app
' They don't their ina that bus' hapa ndio unamaanisha hawakuwepo kwenye bus?
vipi kuhusu matumizi ya "article" hasa hii ya "The",
mimi huwa inanipa shida wakati mwingine...

Kwa mfano hapa "I went to collect the children..." je ni sahihi kuwepo kwa article kabla ya children?
 
Ngoja nisabusikiraibu mkuu siwezi Soma vitu vnavyoitaji utulivu wa akili usiku huu... Wakati Kuna habari nyepesi nyepesi majukwaa mengine huko...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
vipi kuhusu matumizi ya "article" hasa hii ya "The",
mimi huwa inanipa shida wakati mwingine...

Kwa mfano hapa "I went to collect the children..." je ni sahihi kuwepo kwa article kabla ya children?
Nadhani haikutakiwa kuwepo ila inategemea na mazingira. Kama mzungumzaji alikuwa anafanya reference kwa maana kwamba msikilizaji tayari alikuwa anajua kuhusu hao watoto au walikuwa tayari wameshawazungumzia, matumizi ya 'the' ni sahihi
 
oooh okay,

pia ni muhimu tukijifunza matumizi ya hizi article nyingine pia "a" na "an"

mimi zimenipa shida sana kwenye matumizi kwa mfano nilikua najua tunatumia "article -a" kabla ya nouns/adjectives ambazo zinaanza na consonat...

mfano: she gave me a book.

lkn kumbe pia wanaangalia na jinsi inavyosound hiyo consonant....

mfano: she need to study for "a hour" before she go to lunch.

unaona jinsi hiyo article ilivyokiwa haiendani na hiyo "hour" japo inaanza na Consonant....wataalam sasa wanasema hiyo "hour" sauti yake ukiitamka inasikika "our" ambayo yenyewe inaanza na Vowel...
kwahivyo hapo article sahihi ni "an"

sahihi: she need to study for an hour before she go to lunch.

kumbe sasa tunaona matumizi ya article "a" na "an" zinategemea na suati ya nouns/adjectives,

a - consonat sound
an - vowel sound

hiki ndicho kwenye kiingereza nilijifunza na nikafurahi kuelewa japo kidogo,

ila hii article ya "The" bado sijaridhika...nahitaji kujifunza zaidi.
 
Umetisha Mr Miller, tuendelee kujifunza
 
hii lugha nataka niachane nayo tu mpango wa kwenda ulaya sina inasumbua sana
 
Mkuu huonekani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii "The" ni matata sana, nakumbuka kitu cha kwamba, kama umeshakizungumzia hicho kitu au muhusika anakielewa unatumia "The" (refer maelezo ya Khantwe pale juu).

Sasa kwa kuanza 'a' na 'an' zitatumika, ulirudia kutumia hiyo pronoun ndipo 'the' inaingia.

Ngoja niende chimbo nitarudi hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…