Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Nitajitahidi kuendelezea alipoishia, angalau tumalize Present Tense Yote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
What do you mean when your talking about phrases!!? MkuuLearn using phrases, this can speed up your English talking.
Mkuu kwa hiyo nikisema ..Me and Mother we are going to church ..nitakuwa sahihi hapo kwenye Are au ni is?Welcome to Present Continuous Tense
The present continuous verb tense indicates that an action or condition is happening now, frequently, and may continue into the future.
- Tendo linafanyika sasa, au mara kwa mara, na linaweza kufanyika hapo baadae.
Formula yake ni [am, is, are] + verb [present participle].
Nafsi zimeshatajwa:
Singular (umoja)
First - I
Second - You
Third - He (masculine), She (feminine) and It (objects and animals).
Plural (wingi)
First - We
Second - You
Third - They
Kwa kufata formula ya [am, is, are] + verb [present participle] nitaweka mifano kwa kufatisha nafsi hizo hapo juu.
Singular:
I am writing a letter - Ninaandika barua
You are writing a letter - Unaandika barua
He/She/It is writing a letter - Anaandika barua.
Plural:
We are writing letters - Tunaandika barua
You are writing letters - Mnaandika barua
They are writing letters - Wanaandika barua
Note: Nafsi ya pili umoja na wingi zote zinatumia "are".
Nitaendelea...
Mkuu kwa hiyo nikisema ..Me and Mother we are going to church ..nitakuwa sahihi hapo kwenye Are au ni is?
Sent using Jamii Forums mobile app
Just simple..oooh okay,
pia ni muhimu tukijifunza matumizi ya hizi article nyingine pia "a" na "an"
mimi zimenipa shida sana kwenye matumizi kwa mfano nilikua najua tunatumia "article -a" kabla ya nouns/adjectives ambazo zinaanza na consonat...
mfano: she gave me a book.
lkn kumbe pia wanaangalia na jinsi inavyosound hiyo consonant....
mfano: she need to study for "a hour" before she go to lunch.
unaona jinsi hiyo article ilivyokiwa haiendani na hiyo "hour" japo inaanza na Consonant....wataalam sasa wanasema hiyo "hour" sauti yake ukiitamka inasikika "our" ambayo yenyewe inaanza na Vowel...
kwahivyo hapo article sahihi ni "an"
sahihi: she need to study for an hour before she go to lunch.
kumbe sasa tunaona matumizi ya article "a" na "an" zinategemea na suati ya nouns/adjectives,
a - consonat sound
an - vowel sound
hiki ndicho kwenye kiingereza nilijifunza na nikafurahi kuelewa japo kidogo,
ila hii article ya "The" bado sijaridhika...nahitaji kujifunza zaidi.
Hapo mko wawili, ni wengi tayari, are ndiyo sahihi.
My mother and I are going to the church.
Hutakiwi kuongeza neno we. We ni kiwakilishi, so kama usingetaja nani na nani ndo we inatumika.
HAHHAHAHHAHAHAHAHHAHAHHAHAHHZAHAHHAHAHHAHAHAHAHHAHAHAHHHAHAHAHAHHAHAHAHAHHAHAHAHAHAHHAHAHAHHAHAAHAHHAHAHAHHAHAHHAHAHAHAHHAHAHAHAHHAHAHAHHAHAHHAHAHAHAHHAHAHAHAHAHAHHAHAHHAHAHAHAHHAHAHHAHAHAHAHHAHAHHAHAHHAHAHAHAHAHHHAHAHAHHAHAHAHHAHAHAHHAHA" I went to collect the children to the Dar express bus service but they don't their in that bus "
No hivo bro
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie pia kwamba 'me' cannot be used as a subject. Utamfafanulia vipi It's all up to you[emoji16][emoji16][emoji16]
Haha ungemwambia tu huenda angeelewa juu kwa juuNimeshindwa jinsi ya kufafanua ndo maana nimepiga edit juu kwa juu.
Ualimu si mchezo, tutafika tu.
Hata darasani watu kama wewe walikuwepo, ila ni ushamba fulani hiviHAHHAHAHHAHAHAHAHHAHAHHAHAHHZAHAHHAHAHHAHAHAHAHHAHAHAHHHAHAHAHAHHAHAHAHAHHAHAHAHAHAHHAHAHAHHAHAAHAHHAHAHAHHAHAHHAHAHAHAHHAHAHAHAHHAHAHAHHAHAHHAHAHAHAHHAHAHAHAHAHAHHAHAHHAHAHAHAHHAHAHHAHAHAHAHHAHAHHAHAHHAHAHAHAHAHHHAHAHAHHAHAHAHHAHAHAHHAHA
Haha ungemwambia tu huenda angeelewa juu kwa juu
Good ..nadhani akisoma hapa ataelewa vizuri zaidiKuna issue za subject pronouns na object pronouns hapo, ukianza kuzielezea hata hako kadogo kanayeyuka.
Nimejaribu kutafuta majibu kwenye net; Quora kuna majibu kidogo yanatoa mwanga.
View attachment 1049116
Good ..nadhani akisoma hapa ataelewa vizuri zaidi
Mtenda au mtendewa yote sawaMtenda na Mtendwa au Mtendewa?
Habari wakuu ! Natumaini wote ni wazima wa afya , kwa upande wangu niko poa . Sasa twende moja kwa moja kwenye mada yetu .
View attachment 1031445g
Tenses huelezea wakati au muda tendo linafanyika , lilifanyika au litafanyika .
Katika kiingereza kuna tenses ( nyakati ) kuu tatu , ambazo ni :
The present tense ( wakati uliopo)
The past tense ( wakati uliopita )
The future tense ( wakati ujao )
Na kila tense imegawanyika katika sehemu kuu nne ambazo : simple , continous , perfect na continous perfect.
1. PRESENT TENSE ( Wakati uliopo )
I. Simple present tense
II. Present continous tense
III. Present perfect tense
IV. Present perfect continuous tense
2. PAST TENSE ( Wakati uliopita )
I. Simple past tense
II. Past continuous tense
III. Past perfect tense
IV. Past perfect continuous tense
3. FUTURE TENSE ( Wakati ujao )
I. Simple future tense
II. Future continuous tense
III.Future perfect tense
IV. Future perfect continuous tense
Leo tuanze na "simple present tense "
Simple present tense -huu ni wakati ambao unaonyesha vitendo ambavyo vinafanyika kila siku au vya mazoea. Vitenzi ( verbs ) ambavyo vinatumika
katika wakati huu havibadiliki isipokuwa katika nafsi ya tatu umoja .
Zifahamu Nafsi
Nafsi ya kwanza : I ( mimi )
Nafsi ya pili : You ( wewe )
Nafsi ya tatu : He / she / it ( yeye
WINGI
Nafsi ya kwanza : We ( sisi )
Nafsi ya pili : You ( ninyi )
Nafsi ya tatu : They ( wao )
Examples :
I sing songs = > huwa naimba nyimbo
You sing songs = > huwa unaimba
nyimbo
He sings songs = > huwa anaimba nyimbo
She sings songs = > huwa anaimba nyimbo
It sings songs = > huwa anaimba nyimbo
We sing songs = > huwa tunaimba nyimbo
You sing nyimbo = > huwa mnaimba nyimbo
They sing songs = > huwa wanaimba nyimbo
#Kwa nafsi ya tatu umoja , hapa
nazungumzia : ( He , she na it ) ambapo hawa vitenzi vyao vinabadilika vinakuwa vinaongezewa S , ES au IES .
Mfano : take / takes , do / does / fry / fries .
SHERIA YA KUBADILISHA VITENZI ( VERBS ) .
Vitenzi ( verbs ) vingi huwa vinaongezewa " S " tu . Mfano : Seem / seems , look / looks , take / takes .
Kwa vitenzi ambavyo vinaishia na O huwa tunaongezea - ES . Mfano : Go / goes / , do / does , veto / vetoes ) .
Kwa vitenzi ( verbs ) ambavyo vinaishia na - S , - Z , - CH , -SH na - X , hapa huwa tunaongezea " ES " . Mfano : Punch / puches , wash / washes , kiss / kisses , fizz / fizzes , mix / mixes )
Kwa vitenzi ( verbs ) ambavyo vinaishia na sauti ya konsonant alafu mbele zimeishia na - Y huwa tunatoa Y alafu tunaongeza
IES , Mfano : ( Hurry/ hurries , Clarify / clarifies )
Ila kwa vitenzi ambavyo vimeishia sauti ya irabu ( vowel ) huwa tunaongeza " S " tu mbele . Mfano : ( Play / plays , enjoy / enjoys )
KUMBUKA : Kanuni zote za hapo juu zinatumika katika nafsi ya tatu umoja tu ( He , she na It ) .
Kwa nafsi zingine zote vitenzi huwa havibadiliki .
MIUNDO YA SENTENSI KATIKA TENSE HII .
1. Kwa sentensi za kukubali / chanya :
SUBJECT + MAIN VERB
I wake up at 6 AM
( Huwa naamka saa 12 asubuhi )
You wake up at 6 AM
( Huwa unaamka saa 12 asubuhi )
He wakes up at 6 AM
( Huwa anaamka saa 12 asubuhi )
She wakes up at 6 AM
( Huwa anaamka saa 12 asubuhi )
2. Kwa sentensi za kukanusha
SUBJECT + DOESN'T/ DON'T + MAIN VERB
Ufafanuzi :
DOESN'T - inatumika kwa nafsi ya tatu umoja , yani He, she na It .
DON'T - inatumika kwa nafsi
KUMBUKA : Unapotumia DON'T au DOESN'T basi kitenzi kikuu ( main verb ) kinakuwa hakibadiliki ( infinitive ) .
Pia :
Does not = Doesn't
Do not = Don't
KUMBUKA : Unapotumia DON'T au DOES basi kitenzi kikuu ( main verb ) kinakuwa hakibadiliki ( infinitive ) .
Examples :
-I do not wake up at 6 AM
( Huwa siamki saa 12 asubuhi )
-You don't wake up at 6 AM
( Huwa hauamki saa 12 asubuhi )
-He does not wake up at 6 AM
( Huwa haamki saa 12 asubuhi )
-She doesn't wake up at 6 AM
( Huwa haamki saa 12 asubuhi )
- It does not wake up at 6 AM
( Huwa haamki saa 12 asubuhi )
- We do not wake up at 6 AM
( Huwa hatuamki saa 12 asubuhi )
They don't wake up at 6 AM
( Huwa hawaamki saa 12 asubuhi)
3. Sentensi za kuuliza maswali
DO / DOES + SUBJECT + MAIN VERB
Examples :
Do you live here ?
( Je unaishi hapa ? )
Does he like this t-shirt ?
( Je anaipenda fulana hii ? )
Jinsi ya kujibu
-Yes I do .
-Yes he does .
-Yes she does .
Mifano zaidi
She loves her mother
( anampenda mama yake )
He eats banana
( Hula ndizi )
I drive a car
( ninaendesha gari )
You like this movie
( unaipenda muvi hii )
They hate us
( wanatuchikia )
Source : www.englishkona.com
Kwa leo tuishie hapa....tutaendelea .
WhatsApp : 0767329643
NOTE : Huu uzi utakuwa unasasishwa kila mara .

Mtenda au mtendewa yote sawa
My mother bought me a book (mtendewa)
My mother beat me (mtendwa)
Umenisaidia pa kuanzia pre-form one ifikapo mwezi wa 9Habari wakuu ! Natumaini wote ni wazima wa afya , kwa upande wangu niko poa . Sasa twende moja kwa moja kwenye mada yetu .