Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Wengine hatuendi shuleniTenses za lugha gani? Weka na lugha zingine. Hizo tushajifunza shuleni
Sent using my Nokia Torch
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengine hatuendi shuleniTenses za lugha gani? Weka na lugha zingine. Hizo tushajifunza shuleni
Sent using my Nokia Torch
Tuweke jambo sawa kidogo hapa. Katika sarufi (grammar) wakati (time) si sawa na njeo (tense). Wakati (time) ndiyo hugawanyika mara tatu, yani, uliopita, uliopo na ujao lakini njeo (tense) ni lile umbo la kitenzi(verb) ambalo hujidhihirisha kwa namna mbili kuu, umbo linaloonesha wakati wa sasa na lile la wakati uliopita.Tukichambua maumbo haya kwa kila muktadha, yani , uliopo ama uliopita, tutapata maumbo tofautitofauti kadiri mzungumzaji anavyotaka kuwasiliana. Hivyo, neno TALK linaweza kuwa talked, talking ,talk(s) n.k.
Kumbuka hali ya kitenzi kuwa katika wakati uliopita ama wa sasa haina uhusiano wa moja kwa moja na wakati(TIME).Tazama mifano ifuatayo:
If I were a woman, I could bear children.(Je, unadhani huu ni wakati gani, uliopita ama wa sasa? Je, hizo tense ni wakati gani, were/could?) Tazama mfano unaofuata:
Could you give me a pen? (Unadhani huu ni wakati gani, tensi gani?, Je nikikwambia hivi maana yake ninakwambia jambo lililopita? Hapana hii ni sasa, present lakini kitenzi cha wakati uliopita.
Kwa kifupi, katika mifano yote hiyo hapo juu vitenzi vinaonesha wakati uliopita lakini lakini wakati ni wa sasa hivi.
Kwa minaajili hii, Kiingereza hakina umbo maalumu kuashiria future tense. Wengine husema hakina future tense, bali kina wakati ujao tu. Waingereza wao hutumia tense mbalimbali kueleza masuala ya wakati ujao. Tazama mifano michache hapa chini:
1. I am going to marry her next week.(going to)
2.I will go to school on Saturday.(will)
3.Exams start this weekend.(present tense)
4. I am about to finish my studies.(about to)
5. I am visiting my mum this evening.(present continuous)
Mifano hii inathibitisha kuwa hakuna umbo maalumu kudhihirisha future tense katika English. Na hii inathibitisha tense si sawa na time(wakati), kwani utaona hapo present tense imetumika kuelezea masuala ya wakati ujao na kule mwanzoni tuliona maumbo ya wakati uliopita yametumika kueleza matukio ya present time.
Mkanganyiko huu unatusumbua sana sisi ambao tunajifunza Kiingereza kama lugha ya pili. Na ukisoma kw akuchambua kama hivi, ndiyo unachanganyikiwa kabisa. Usomaji mzuri ni ule wa kupewa muktadha(context) , kisha unapewa kanuni indirectly na kuoanisha na muktadha uliopewa. Kwa mfano, unataka kujifunza wakati ujao, utapewa kisa cha Jolita anataka kuoa mwakani. Utawasikiliza kisha utaona miundo wanayotumia na wewe kuweza kuiga huku mwalimu akisiriba kwa kanuni.
Ninawasilisha
Mtenda au mtendewa yote sawa
My mother bought me a book (mtendewa)
My mother beat me (mtendwa)
Hata darasani watu kama wewe walikuwepo, ila ni ushamba fulani hivi
Tenses za lugha gani? Weka na lugha zingine. Hizo tushajifunza shuleni
Sent using my Nokia Torch
Ahsante kwa kunitukana ila naomba unifafanulie kitu hapo kwenye mtenda. Kwenye hizo sentensi mbili nilizoandika yupi ni mtenda?Hapana ndugu, mtenda
Mimi si mshamba kwa muktadha huu ndugu. Humu mtandaoni kuna kila binadamu. Hivyo, unaona nimecheka hivyo nikijua huyo mtu anatania. Nami nikacheka kiutani vilevile. Uzuri humu pia hakunizuii kuonyesha hisia zangu.
Kumbuka mtu aliomba msaada, hivyo anaemsaidia nilitegemea pengine awe anaefahamu. Pata picha huyo mtu anachukua kama ilivyo. Na huyo aliyemjibu hakutoa tahadhari zozote.
Hivyo, nilitafsiri kuwa anaejibu anafurahisha. Ukitazama si huyo tu, fuatilia post kadhaa hapa ni za masihara.
Sema bongolala kama wewe umekaa kichukichuki, chochote unaona umedhihakiwa. Watu wameandika utani kibao hapa, hakuna aliyeshambulia. Na ninaamini wapo wanaojua lakini wanajua mambo ya mtandao wanapotezea.
Wewe ni tundu la choo, msaada wako ni kupokea tu kinyesi.
Mkuu kabla hujajikita kwenye michanganyo ya namna hiyo, kitu cha kwanza muhimu ni kujua basics za tenses.
Kwa sababu kama hujajua hizo basics hiyo mifano yako itakutoa kabisa kwenye reli.
In fact Future Tenses ni kizungumkuti kwa learners, so si mbaya tukajua zile basics.
Maana uzuri wa sentence zote hizo zinaweza kuandikwa in a simple sentences na zikabeba ujumbe ule ule na ukawa grammatically okay.
Ahsante kwa kunitukana ila naomba unifafanulie kitu hapo kwenye mtenda. Kwenye hizo sentensi mbili nilizoandika yupi ni mtenda?
Hahaha Kikristo hiki kitawaua watu' They don't their ina that bus' hapa ndio unamaanisha hawakuwepo kwenye bus?
Kuna wakati inabidi kupuuza yale ya kupuuzi, nimeamua kuchukua litakalonisaidia mengine nimemuachiaVery humble of you.
Nilishaanza kuona dalili ya damu kuruka.
Na mimi nifundishwe Jamani. .Wa kuiendeleza ni mimi na wewe, unaweza kuuliza kinachokusumbua kisha tunashea mawazo
[emoji16][emoji16][emoji16] mwalimu kaenda kuchukua mshahara tumebaki wanafunzi tunadiskasi
[emoji16][emoji16][emoji16] mwalimu kaenda kuchukua mshahara tumebaki wanafunzi tunadiskasi
[emoji16][emoji16] kumbe...mimi nilikuwa namsubiria kumbe hana mpango wa kurudiTicha aliweka tangazo ili twende twisheni, nimefanya follow-up ya link aliyoweka nikaona ni ukaribisho wa kwenda kusoma kwake.
Are you the first or the last born in your family? Sasa hapo unakuwa umemjaribu yeye ili akwambie ni wa ngapi?(unakuwa umemzunguka tu)ukitaka kumuuliza mtu wewe ni mtoto wa ngapi kuzaliwa kwenu hapo kwa english inakuaje?
[emoji16][emoji16] kumbe...mimi nilikuwa namsubiria kumbe hana mpango wa kurudi
Walimu wenzangu Karucee Daby na Mwifwa hebu kuweni pande hii kuna mbobezi wa lugha ya malkia kahitimu PhD ya ubanguaji korosho" I went to collect the children to the Dar express bus service but they don't their in that bus "
No hivo bro
Sent using Jamii Forums mobile app
Are you the first or the last born in your family? Sasa hapo unakuwa umemjaribu yeye ili akwambie ni wa ngapi?(unakuwa umemzunguka tu)
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16] sio mbaya tutafaulu tuTuendelee tu sisi wenyewe, yeye kashaondoka mazima.