Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Kidogo nipigwe mkuu,nimepona nilikuwa sina kumi mbovu!Ulipona kweli? Au ushapigwa tayari?
Unapigwaje sasaKidogo nipigwe mkuu,nimepona nilikuwa sina kumi mbovu!
Hiyo namba inakupigia simu na kukuliza unajua unaongea na nani?Ukitaja tuu jina labda Oswald anadakia aah unajua kutambua sauti hii pia ni namba yangu isave ndo maelezo ya mizinga inaanzia hapo ooh baba kalazwa.Niazimie laki2Mbona hueleweki?
Hapana mkuu ni ndemba! alivyo nipigia nikataka jina la Hiza hapohapo niksmpigia hiza akasema hana hiyo namba na kuangalia jina kama natuma hela linasomeka Juma sijui nani huko.Hhhahhha sio gubrgube lako umeamua kulilipua kisa lina piga sana mizinga???
Hujaelewa nini hapo?Ukiibiwa ndo uteelewa wenye kuelewa wamenielewa!Mbona hueleweki?
Hujaeleza vizuri, toa maelezo ya kutosha.Hujaelewa nini hapo?Ukiibiwa ndo uteelewa wenye kuelewa wamenielewa!
Ahaa, sawa. Sasa nimeelewa.Hiyo namba inakupigia simu na kukuliza unajua unaongea na nani?Ukitaja tuu jina labda Oswald anadakia aah unajua kutambua sauti hii pia ni namba yangu isave ndo maelezo ya mizinga inaanzia hapo ooh baba kalazwa.Niazimie laki2
Ipigie hiyo namba itakupa maelezo,mimi nimemaliza kutahadhalisha!Hujaeleza vizuri, toa maelezo ya kutosha.
Hivyo tu unaibiwa?Hiyo namba inakupigia simu na kukuliza unajua unaongea na nani?Ukitaja tuu jina labda Oswald anadakia aah unajua kutambua sauti hii pia ni namba yangu isave ndo maelezo ya mizinga inaanzia hapo ooh baba kalazwa.Niazimie laki2
Akibahatisha jina la mtu wa karibu!lazima uliwe kichwa.Hivyo tu unaibiwa?
Mbona hueleweki?
Hujaeleweka
Hiyo namba inakupigia simu na kukuliza unajua unaongea na nani?Ukitaja tuu jina labda Oswald anadakia aah unajua kutambua sauti hii pia ni namba yangu isave ndo maelezo ya mizinga inaanzia hapo ooh baba kalazwa.Niazimie laki2
Hujaelewa nini hapo?Ukiibiwa ndo uteelewa wenye kuelewa wamenielewa!
Hujaeleza vizuri, toa maelezo ya kutosha.
Mods washapita na namba ndio maana uzi haueleweki.Ipigie hiyo namba itakupa maelezo,mimi nimemaliza kutahadhalisha!
Sasa hapo unaibiwa vipi, vitu vingine tujiongeze.Hiyo namba inakupigia simu na kukuliza unajua unaongea na nani?Ukitaja tuu jina labda Oswald anadakia aah unajua kutambua sauti hii pia ni namba yangu isave ndo maelezo ya mizinga inaanzia hapo ooh baba kalazwa.Niazimie laki2
Kipimo chako cha kuishia la Nne ni nini mkuu?Acha dharau.Kwani mkuu uliishia darasa la 4?