Jihadhari na hiki kituo cha mafuta cha Victoria

Jihadhari na hiki kituo cha mafuta cha Victoria

Shida hizi pump nyingine zinakuwa upande mmoja petrol upande diesel.. Rangi tu ndo inatofautisha
Lakn kwa hz zinaonyesha kabisa kwamba pump hii ni ya diesel na hii ni ya petrol,ss ilikiwaje jamaa akapeleka siko.Inawezekana na yy alikua na mawazo so akuangalia.
 
How gari ya diesel uwekewe petrol? Au ulipeleka gari yako kwenye pump za petrol badala ya diesel? Maana pump zinaonyesha petrol wapi na diesel wapi
Uponmkoa gani? Pump za kisasa Zina petrol na diesel horse hapo hapo.
 
Wewe mwenye gari inatakiwa upeleke gari yako kwenye pump usika
Na muhudumu ni jukumu lake kuhakiki kuws ni petrol au diesel, wote wana makosa japo kosa kubwa ni kwa muhudumu kuhudumia kwa mazoea
 
Lakn kwa hz zinaonyesha kabisa kwamba pump hii ni ya diesel na hii ni ya petrol,ss ilikiwaje jamaa akapeleka siko.Inawezekana na yy alikua na mawazo so akuangalia.
Pump za kisasa Zina diesel na petrol horse hapohapo wanazo Engen na baadhi ya vituo
 
Unaelekea kwenye pump ya aina ya mafuta unayohitaji unless hakuna maelekezo cause kuna gari ambazo ni same model ila zinatumia diesel au petrol
Ila kihuhalisia gari nying ninza petrol so kama una gari ya Diesel uwe makini mwenyewe mwenye gari ukingia sheli useme mapemaaa hii Diesel usikae kimya au lah uwelke stika pale kwny mfuniko...

Sio umezama sheli na RAV 4 yakonya UK ya diesel afu unamwambia weka ya 30 kama pampu ni ile ya mikono ya diesel na petroli hapo hapo lazma uchambie upupu

Sent from my TA-1004 using JamiiForums mobile app
 
Haya majibu. Hivi kweli hamjui kuna pump moja ina pipe ya diesel na petrol hapo hapo? Mtoa mada chukua jukumu kulinda gari yako.
Mkuu hicho kituo alichotaja pump zimetengwa kbc petrol upande wake na diesel upande wake kwahiyo huyu jamaa ni mzembe tu unaenda na Vx unafika unalipaki upande wa diesel kumbe la petrol na haujaeka vile vi stika nani wakulaumiwa hapo?
 
Gari yangu ya diesel na nikawekewa petroli, nimewekewa mara mbili!
Nimeapa kutorudi kuweka mafuta hapo.
Kuna katatizo hapa.
Na manager aakawa mbishi na kusema ni shauri lako!

Sijui EWURA wanasemaje hapo.

View attachment 1827601
Ni watu waungwana sana hawa watu kuanzia mmiliki wa kituo mpaka wafanyakazi wake, inawezekana kuna tatizo baina yako mwenyewe na watu waliokuhudumia ambalo lilistahili kumalizika hapo hapo!
 
Mkuu ulokole wao na uchungaji wa huyo mmliki unahusiana na nini na kumuwekea jamaa petrol badala ya diesel?

Nadhani tujadili hoja na tusijadili watu.
Kwanini wamwekee petrol badala ya diesel? Ili wapate nini? Nadhani kuna tatizo zaidi ya lilivyoletwa hapa!
 
Ni watu waungwana sana hawa watu kuanzia mmiliki wa kituo mpaka wafanyakazi wake, inawezekana kuna tatizo baina yako mwenyewe na watu waliokuhudumia ambalo lilistahili kumalizika hapo hapo!
Kwa majibu ya manager wao sikuuona huo uungwana.
 
Gari yangu ya diesel na nikawekewa petroli, nimewekewa mara mbili!
Nimeapa kutorudi kuweka mafuta hapo.
Kuna katatizo hapa.
Na manager aakawa mbishi na kusema ni shauri lako!

Sijui EWURA wanasemaje hapo.

View attachment 1827601
Nashangaa mshindani wa kibiasharavwa Victoria PSanakutuma kuja kuharibu biashara za Watu.
Hutomuweza mzee Matemba, Gari za TISS na Ikul nyingi zilikuwa na zimekuwa zikiweka mafuta hapo, wewe ni nani mpaka uwe wa kuonewa tu?
Habari za kijijini huko unaleta hapa jf?
Mod, huyu ni verified member , sasa tunataka adhibirishe huu umbea.
 
Back
Top Bottom