Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
- Thread starter
- #81
Ulivyo mshamba hilo si swala la polisi!Nenda polisi basi maana hayo ya kusema watu sijui wametoka kijijini haitakusaidia lolote mzee ukizingatia reputation ya hiyo filling station ni nzuri na inaaminika muda mrefu. haiwezekani asilimia 99 ya wachangiaji hapa wawe against wewe alafu bado uendelee kuwaaminisha watu kwamba filling station ndio wenye shida. Tatizo lazima litakuwa upande wako ndio maana umekosa guts za kuwachukulia hatua maana umegundua UJINGA uliufanya wewe ila umeamua kupunguza machungu yako kwa kuamua kukichafua kituo na bahati mbaya umekosa support kwa kuwa hayo unayoyasema watu hawajakutana nayo na haiwezekani wewe peke yako tu ndio upate hiyo changamoto. Alamsiq