Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
Unapofika Fuel station pump huwa zinaandikwa majina ya aina ya Fuel.Hivi protokali ya kuweka mafuta ikoje?
Huwezi kuta pump ya diesel imeandikwa petrol and viceversa. Na wewe mwenye gari unawajibu wa kutazama hilo. Kuna gari hutoka modeli moja ila zinatumia mafuta tofauti.
Mfano Prado, descovery etc, zipo za petrol na za diesel. So wewe unawajibika kwanza na gari lako kulingana na unavyolijua. Ukiipaki pampu ya pefrol it means unataka uwekewe petrol, ukiipaki kwenye diesel inamaana unataka uwekewe diesel......
Why unalaumu petrol station attendants....