Pamoja na kwamba naona makosa ya mtoa maada, lakini huyo meneja hafai maana kwa ajili yake jina la Bwana linatukanwa bure. Kwa wivu wa Jina la Bwana, meneja afukuzwe kazi.Walokole ndio wanajibu mbovu namna hio?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja na kwamba naona makosa ya mtoa maada, lakini huyo meneja hafai maana kwa ajili yake jina la Bwana linatukanwa bure. Kwa wivu wa Jina la Bwana, meneja afukuzwe kazi.Walokole ndio wanajibu mbovu namna hio?
Vyote viwili. Ukiwa unamtumika Bwana hupaswi kulaumiwa kizembeTatizo ni dini ama mfayakazi wao?
Unaonekana una akili kidogo sana.
Labda gari si lake na kama ni lake basi ni mzembe sana.Lazima ajibiwe mbovu maana hapo pampu zimetengwa kabisa na zinamaandishi makubwa tu huyu jamaa itakuwa ni chapombe..
Mkuu hiki kisa ni cha kweli na naweza kuapa juu ya hilo.Ukisoma huu uzi tangu mwanzo na kupitia zaidi maoni ya mleta mada kwa undani utagundua tu huyu ndugu ana lake jambo. Kwanza hicho kituo alichokitaja pampu za petroli zipo upande tofauti na zilipo pampu za dizeli halafu anasema amewekewa mafuta tofauti mara mbili. Kiufupi tu itoshe kusema kuwa huyu mleta mada ameamua tu kumharibia Victoria biashara yake. Wasiwasi wangu mkubwa huyu jamaa aidha anafanya kazi au ana miliki kituo cha mafuta jirani ya kilipo hicho kituo cha Victoria na hakina wateja kama Victoria kwa hiyo ameamua kumfukuzia jamaa wateja wake anasahau kuwa Victoria ameshajenga "goodwili na bond" kubwa na wateja wake kwa miaka mingi.
Mlete mada kajichanganya sana kiasi unaona kabisa huyu jamaa hamiliki gari na hata kama alienda na gari kituo cha mafuta basi aliazima kwa rafiki yake au ndugu yake. Kwa mmiliki wa gari hawezi kabisa kwenda kuweka gari lake kwenye pampu tiofauti ya mafuta linayotunia gari lake halafu tena mara mbili kituo hicho hicho. Uongo mwingine hata shetani anakukimbia anakuacha mwenyewe.
Atakuwa alitongoza mtoto wa kilokole akamtolea nje na mkebe wake akaja malizia hasira kwenye uzi jfWewe kajamaa sio Bure Kuna kitu cha ziada..hii story ya Diesel Na Peteol Ni kisingizio Tu lakini una chuki zako binafsi Na Victoria em weka wazi
Daa umepiga mule mule kwenye mshono. Nilikuwa naogopa kutamka hilo neno bora umenisaidia.Mleta uzi ni mshamba fulani
I am way above your league mate.Mleta uzi ni mshamba fulani
Huu uzi umeibua wajinga wajinga wengi sana, mmejua kushabikiana.Daa umepiga mule mule kwenye mshono. Nilikuwa naogopa kutamka hilo neno bora umenisaidia.
Naona umelengwa na tofali utosini. Tulia weweI am way above your league mate.
Wakati unaendesba maboksi mchangani , tayari tulikuwa barabarani
I doubt kama mzazi walo alikuwa hata na hela ya kupanda UDA in the early 80’s.
You idiots have a way of propping your selves into heights of stupidity.
I am way above your league mate.
Wakati unaendesba maboksi mchangani , tayari tulikuwa barabarani
I doubt kama mzazi walo alikuwa hata na hela ya kupanda UDA in the early 80’s.
una tatizo la kijinsia.Naona umelengwa na tofali utosini. Tulia wewe
Unapofika Fuel station pump huwa zinaandikwa majina ya aina ya Fuel.
Huwezi kuta pump ya diesel imeandikwa petrol and viceversa. Na wewe mwenye gari unawajibu wa kutazama hilo. Kuna gari hutoka modeli moja ila zinatumia mafuta tofauti.
Mfano Prado, descovery etc, zipo za petrol na za diesel. So wewe unawajibika kwanza na gari lako kulingana na unavyolijua. Ukiipaki pampu ya pefrol it means unataka uwekewe petrol, ukiipaki kwenye diesel inamaana unataka uwekewe diesel......
Why unalaumu petrol station attendants....
Dah....kwa gari ya dizeli ukiweka petrol madhara ni makubwa kuliko ya petroli kuweka dizeli....
Dizeli hutumika kama kilainishi katika pampu hivyo kuweka petroli huongeza msuguano utakaosababisha uharibifu mkubwa utakaopelekea kubadilishwa vifaa vya pampu ambavyo ni ghali kutegemea na aina ya gari....
Kwa gari za petroli zikiwekwa dizeli siyo ishu kivilee....unasafisha njia ya mafuta na plagi tu....inarudi barabarani ,[emoji2960]
Mkuu mimi huwa napenda kuwaungisha wazalendo, lakini wazalendo hao hao utaumia.Mimi huwa najaza sheli za total mkuu
Mbona nawe unachafua Brand za watu!Kwa nini umshutumu mleta kuwa ni mfanyakazi kazi wa "Camel Oil"?Wewe jamaa inatakiwa utafutwe ufungwe ..hiki unachofanya Ni kuchafua biashara Na brand Za watu..brand defamation..Siajabu wewe Ni mfanyakazi wa Camel oil
Ila mkuu mwanzo ulidai Meneja ndio mwenye shida na ulipata ushirikiano toka kwa attendants.Cha ajabu nyuzi zilizofuatia ni kuwashutumu na kuwakebehi..Kukubali uzembe si kosa ,hilo nakubali , na sitarudia uzembe wa kujaza mafuta pale Victoria.
Pump attendants very unprofessional, na ni visichana ni dhahiri vimetoka shamba majuzi.
Victoria vitu mko vizuri?
Kituo panavuja wakati wa mvua kama nyumba ya nyasi!
Mzawa ni vizuri kumpa tafu, lakini sio kwa risk ya uzembe wa pump attendant na dharau za manager wake.
Na endeleeni kudharau wateja wenu.
Anaye kudharau mteja ujue biashara hiyo ni tegesha tu, Ana biashara nyingine.