Jihadhari na jumbe hizi; usiingie link ya “UNICEF Foundation Africa”

Nibiru X

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2019
Posts
425
Reaction score
436
Halo wanna intelligent,

Lengo la kuja hapa ni kukupa taahadhari Kuna jumbe feki zinatembea mitandao ya kijaamii kua unicef Africa inagawa hela za bure kwa watu huo ni utapeli na UNICEF wamesema hawafanyi huduma hio watu wanaingiliwa acc Kisha inaandika umepokea mill 2700000 from UNICEF hao ni Wakenya wanatafuta acc za kutuma picha chafu kwa faida biashara ya ngono.

Usiingie link ya UNICEF foundation Africa.

 
Asante kwa taarifa mkuu. Hili suala so poa. Mi nishatafutwa sana na hawa jamaa.
 
Hao jamaa wamedukua account za facebook wanatumia picha za wenye account kudanganya kuna mkopo, huwa wanajichatisha kwenye comment kukazia kuna mkopo, Account wakidukua wanabadili namba na email ni ngumu kurudisha account.

mifano ya account zilizodukuliwa





 
Kitu watu wanapaswa kuelewa ni kwamba huwa hakuna pesa za bure. Ni lazima ufanye kazi. Fikra za uvivu ndiyo huwaletea watu shida.

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…