Jihadhari na makampuni ya Kitanzania yanayoagiza magari

Mkuu ikiandikwa "Grade X" ina maanisha nini?[emoji134]
 
Mitanzania sisi ni mipumbavu! Wakenya wakija wakatoboa tunabaki majungu! SBT Japan ni kampuni ya uhakika, hakuna rongorongo! Hii SBT Tanzania nayo ina watu wachache wapuuzi. Walitaka kunipiga hela kwenye ushuru ule mdogomdogo nikawastukia nikawaambia sitoi cash nitalipa kwa control number mimi mwenyewe! Mpaka namaliza kulipa nikakuta walikuwa wananipiga 800k, pumbavu kabisa! Wao wenyewe walininyooshea mikono! Kijana wa shemeji yangu alikuwa kwenye huo mpango wa kupiga hela yangu maana huwa anapiga day worker ya kusaidia watu kutoa gari bandarini sasa nikajidai kumwamini, uzuri nikastukia mchezo nikamwambia hela nitakaa nayo mwenyewe wao washughulike tu na makaratasi kila wakimaliza hatua moja wananipa control number nalipa! Hakika niliwaweza!
 
Ukiwa hujakutwa kubisha ni rahisi sana.

Ila siku nilipoachiwa Mzigo pahala wa zaidi ya 8M na Muagizaji(Kampuni)
Iliposhindwa kuulipia na faida waliipata wakaila na siku ya kulipia mzigo ulipofika wakashindwa.

Kampuni mpaka inakuletea historia ya Muanzisha kampuni mara anaumwa..mara alivamiwa.


Sijawahi amini Kampuni za ajabu ajabu.
 
Mkuu gari nzuri ziko SBT Japan! Wacha! Halafu jamaa wako systematic kweli wanakupa namba unakuwa unafuatilia mzigo wewe mwenyewe kila hatua. Mpaka tarehe meli inatia nanga unaiona kabisa! Ila kuwa mwangalifu na SBT Tanzania, pale kuna matope yamerundikwa pale yanashirikiana na jamaa wa clearing and forwarding ukizubaa kidogo tu unapigwa!
 
Mi nitawaambia waniletee Lambogine, tuone kama bongo wataipata
 
Kampuni za Wajapan ni zipi?

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Ulitumia njia nzuri
 
Yote ya yote kwanini uagiziwe Gari from Japan na mtu mwingine?
Kwanin usiingie website original za magari kama SBT au BeFoward ukaagiza mwenyewe?
Ukiagiza kupitia hawa vishoka unapata faida gani? Unaokoa nini hasa?
 
Dah...Ahsante jf, Maana hapa nillikuwa nataka kuagiza Xtrail new model kupitia hao hao wenye makampuni NYIEEE

Achana na hio gari ,ni moja ya gari mbovu sana utaingia hasara matengenezo
 
Umesoma huo uzi au umeweka link tu? Kaibiwa vifaa gari likiwa wapi?

Nimeshausoma ila inaonekana huyo jamaa hakuagiza direct gari befoward kulikua na mtu mwingine yupo involved,tatizo ni kupenda vya urahisi ,befoward ni uhakika nimekua nikiwatumia
 
Mkuu vipi ukiwalipa cash wanakupa hati au hawakupi.
 
Hahahaa, wakenya wanalia kila siku baada ya wachina kuingia mtaa kuuza bidhaa. Kuna chimbo lao moja linaitwa China supermarket.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…