Jihadhari na makampuni ya Kitanzania yanayoagiza magari

Jihadhari na makampuni ya Kitanzania yanayoagiza magari

Hivi nitajuaje gari ninalotaka kulinunua limemilikiwa na mtu mmoja ama watu kadhaa kabla ya kuliagiza toka Japan ama Ulaya?

Gari za Japan huwa zinaonesha...tena hadi mtirirko wa service ambao gari imekuwa ikifanyiwa
 
Nenda beforward tu ndo hamna longo longo
Chagua gari zako tofauti tofauti kama tatu, nenda ofisini kwao pale wakuangalizie details zaidi za hiyo gari, chukua invoice nenda crdb bank lipia usubiri gari lako
Kwa sasa reputation yao ni kubwa sana kwa hiyo hawawezi kuiweka rehani

Wabongo wengi wavivu mzee, BF wanafanya poa sana so far
 
Nilitapeliwa vifaa vya gari na kampuni ilikua na ofisi posta. Hadi leo havikuwai fika. Ckl motors and parts.
Mkuu huyo ametumwa ili wapatikane wakupigwa maana hata kina Qnet kuna watu walikuwa wanasupaza shingo kumbe ni watu wao mwisho wa siku ni vilio kila kona
 
Bado ni porojo mada ni magari unakuja na vifaa vya magari sawa onyesha invoice na receipt zikisoma jina la Company ya CKL motors and Parts vinginevyo utakuwa nimuendelezo wa kuchachafuana.

Unataka tu reveal sisi kina nani jf. Shindwa bye siko hapa kubishana au kuonesha nani ni bora kuliko mwenzake. Ata befoward wanauza spare
 
Kampuni ni SBT na Beforward TU,huko kwingine nenda ukiwa umejiandaa kisaikolojia
Siwezi kuagiza gari Be Forward waliniuzia gari bovu sina hamu nao,bora kununua gari mkono sio kwawale wapakistani ni matapeli wakubwa gari mwezi moja bumper na body vimeachana,hii kampuni ya watu wa mikoani wanajifunza kuagiza magari kwanza wasumbufu ukijisajili kosa utapigiwa simu usiku na mchana utafikiri wanakudai.
 
Hapo nyuma, nilishawishika kununua gari kupitia kwa wakala wa hapa Nyumbani.

Niliona Picha ya gari kupitia ukurasa wa Instagram, baada ya kuhoji gari la mwaka gani na limetembea Km ngapi, nilichojibiwa hakikuwa na uhalisia wowote.

Kwabahati nilipata website moja ya wauza magari kutoka Japan, Nikabahatika kukuta gari nililolihitaji kupitia kwa wakala yule wa hapa nchini, nakukuta taarifa alizonipa hazikuwa sahihi bali kuna mchezo alitaka kuucheza ili aje anihadae hapo baadae. Nilifanya maamuzi wa kutafuta gari lingine lenye vigezo ninalolihitaji na kulipia haraka.

Niliweza kupata gari zuri kwa gharama nafuu na kuepuka gharama kama ya T-sh 3m kama ningeamua kununua kupitia yule wakala.
Wee jamaa najua kutengeza story hivi unaweza kuagaiza gari kupitia kwenye insta au kwenye ma group ya whatspp uko serious kweli walewatu ni matapeli ukimwambia tukutane nikupe hella ya Gari atakumbia njoo mwananyamala au mbagala ili wakutapeli simu hawa ndio mnawaita waagizaji wa magari wa kibongo mnatuchukulije?
 
Hapa sijaona kampuni yoyote ya wabongo zaidi ya porojo makampuni yote Dunia yana majina sijaona jina hata moja la kampuni inayoshutimiwa kufanya utapeli, mleta mada ametumwa na Be forward na SBT kuchafua makampun ya wazawa kwaujila kidogo nanyie mnaingia kwenye mtego na kukandamiza nduguzenu kwatuhumu za uongo nakushangili wahindi wakichukua fursa zenu mswahili acha ujinga amka kwenye usingizi wa pono mleta mada kama kweli anachokiongea ataje jina la kampuni na watu wote waliotepiliwa kwa namna moja au nyingi waweke ushahidi wasije porojo na kuchafuliana hii ni tabia mbaya sana watu wanalipa kodi wanaajiri watu mtu moja naishi kwa shemeji yake anakuja nakufungua uzi wakuchafua makampuni bila ushahidi.
Kijana sijui umekunywa mchuzi wa wapi...

Wabongo ni matapeli wa kutupwa wengi janja janja tu.

Ikifikia muda wa kuleta ushahidi nitakuletea.

Ila hawa wa lipia nusu na gari ikifika utamalizia wengi ni wezi hakuna lolote...

Soma post za juu nmeweka baadhi ya convo....

Most of them ni matapeli wakubwa....
 
Pitia mfano huu uzi.

We have a lot to learn...
Mkuu unaonekana uko kimkakati kuchafua makampuni ya wazawa kama wew ni raia wa Tanzania utakua na metality za kitumwa jamaa kakuambia utoe elimu kuhusu udanganyifu wa grade za magari unamtoa kwenye reli jikite kwenye mada acha janja janja ili mwende sawa inawezeka mwisho wa picha ukaonekama tapeli bila kuweka mambo sawa
 
So What Are The Major Japanese Car Auction Grades?​

With that said, let’s look at the different overall auction grades and what they mean about the overall condition of the car:
Grades 7, 8, 9 or S– These refer to a brand new car with only delivery mileage.
Grade 6– This grade can sometimes be equivalent to the grades above, but sometimes will have a little more than just delivery mileage.
Grade 5– A vehicle in superb condition, very close to brand new standard, but with several thousand kilometers on the odometer.
Grade 4.5– A vehicle in excellent condition, but with up to a few tens of thousands of kilometers on the clock.
Grade 4– A good, solid vehicle usually having less than 100,000 km on the clock.
Grade 3.5– A higher mileage vehicle or one which will need some work to clean up.
Grade 3– Either a very high mileage vehicle or one which is rough.
Grade 2– A very rough vehicle usually with corrosion holes triggering this low grade.
Grade 1– Usually a heavily modified vehicle which has had a different engine or transmission fitted, or which has an aftermarket turbo charger. Other possibilities are flood or fire extinguisher damage.
Grade R, RA, A and 0 (zero)– These are vehicles that have had some degree of accident repairs. At one end of the spectrum the repairs will be a single panel replaced due a minor parking ding, whereas at the other extreme there are vehicles that must have rolled in an accident which have had almost every panel replaced.
Ungraded vehicles ()– These are sold as-is by the auction with no or almost no information about their condition. As such they are very risky and can result in escalating additional costs if they cannot drive or move.

What Kind Of Information Is Available On An Auction Sheet?​

The first thing you will notice is that you probably can’t read most of this as it is in Japanese. Well don’t worry about that as this is what we are here for you www.digxam.com . For any cars you have a serious interest in bidding on, you can request a translation from a highly-qualified human translator.
You will also spot that the inspection reports are divided into sections, as you can see on the left. Some parts you can read, such as the overall grade, interior grade or the annotations on the "car map".
So, what are the main sections in this report?
  • Details of the car itself (such as KM, model name, basic equipment etc)
  • The overall grading of the car.
  • This includes the interior grade (and sometimes also exterior grade) of the car.
  • Seller’s sales points.
  • Auction inspector’s written comments.
  • The “car map” showing exterior damage
Auction Grade is the Auction Inspector's assessment of the o...
 
Na hizi habari sambazeni na kwenye ma group ya whatsapp kwa wingi.

Sipendi dhuluma na uonevu. Kama ni Hela Mtu Atafute Ya Halali Sio Kuonea na Kudhulumu Wengine Plus ni mambo kama haya yanafanya hata wengine wanaofanya biashara hizi ki halali na wao waonekane sio wa kweli.

It Has To End.
Wakiniambia nilipe nusu wanipe kishika uchumba nami niwe na amani kwamba wakizingua napiga bei kurudisha pesa yangu.
Haiwezekani unawaingizia milion 20 halafu wao wanakupa vikaratasi visivyo na mbele wala nyuma.

Wabongo ubabaishaji tutaacha lini?
 
Mkuu unaonekana uko kimkakati kuchafua makampuni ya wazawa kama wew ni raia wa Tanzania utakua na metality za kitumwa jamaa kakuambia utoe elimu kuhusu udanganyifu wa grade za magari unamtoa kwenye reli jikite kwenye mada acha janja janja ili mwende sawa inawezeka mwisho wa picha ukaonekama tapeli bila kuweka mambo sawa
Ungefuatilia mjadala huko juu kabla ya comment hizo mbili ungeelewa kwa nini nmemjibu hivyo.

Tafadhali jitahidi kusoma ya juu kabla ya kudandia treni katikati.

Nichafue kampuni ili iwaje? Je umeona nimetaja kampuni yoyote kuhusu utapeli?
 
So What Are The Major Japanese Car Auction Grades?​

With that said, let’s look at the different overall auction grades and what they mean about the overall condition of the car:
Grades 7, 8, 9 or S– These refer to a brand new car with only delivery mileage.
Grade 6– This grade can sometimes be equivalent to the grades above, but sometimes will have a little more than just delivery mileage.
Grade 5– A vehicle in superb condition, very close to brand new standard, but with several thousand kilometers on the odometer.
Grade 4.5– A vehicle in excellent condition, but with up to a few tens of thousands of kilometers on the clock.
Grade 4– A good, solid vehicle usually having less than 100,000 km on the clock.
Grade 3.5– A higher mileage vehicle or one which will need some work to clean up.
Grade 3– Either a very high mileage vehicle or one which is rough.
Grade 2– A very rough vehicle usually with corrosion holes triggering this low grade.
Grade 1– Usually a heavily modified vehicle which has had a different engine or transmission fitted, or which has an aftermarket turbo charger. Other possibilities are flood or fire extinguisher damage.
Grade R, RA, A and 0 (zero)– These are vehicles that have had some degree of accident repairs. At one end of the spectrum the repairs will be a single panel replaced due a minor parking ding, whereas at the other extreme there are vehicles that must have rolled in an accident which have had almost every panel replaced.
Ungraded vehicles ()– These are sold as-is by the auction with no or almost no information about their condition. As such they are very risky and can result in escalating additional costs if they cannot drive or move.

What Kind Of Information Is Available On An Auction Sheet?​

The first thing you will notice is that you probably can’t read most of this as it is in Japanese. Well don’t worry about that as this is what we are here for you www.digxam.com . For any cars you have a serious interest in bidding on, you can request a translation from a highly-qualified human translator.
You will also spot that the inspection reports are divided into sections, as you can see on the left. Some parts you can read, such as the overall grade, interior grade or the annotations on the "car map".
So, what are the main sections in this report?
  • Details of the car itself (such as KM, model name, basic equipment etc)
  • The overall grading of the car.
  • This includes the interior grade (and sometimes also exterior grade) of the car.
  • Seller’s sales points.
  • Auction inspector’s written comments.
  • The “car map” showing exterior damage
Auction Grade is the Auction Inspector's assessment of the o...
Good mkuu....
 
Mkuu unaonekana uko kimkakati kuchafua makampuni ya wazawa kama wew ni raia wa Tanzania utakua na metality za kitumwa jamaa kakuambia utoe elimu kuhusu udanganyifu wa grade za magari unamtoa kwenye reli jikite kwenye mada acha janja janja ili mwende sawa inawezeka mwisho wa picha ukaonekama tapeli bila kuweka mambo sawa
Watu wanatapeliwa nyie mnakalia uzawa uzawa. Kwani mimi uliyenitapeli sio mzawa?

Nyie ndio wale mnashirikiana nao mpo kwenye group za whatsapp mnajaza watu upepo....

Pathetic....
 
Back
Top Bottom