Jihadhari na mapenzi siku za sikukuu

Jihadhari na mapenzi siku za sikukuu

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Huwezi amini, muda huu jamaa na pisi kali yake ndio wanamalizia kuambukizana ukimwi, gono, kaswende UTI sugu kwa styles kama zote na wengine wanajipanga kufanya hivyo leo jioni na usiku wa mwaka mpya 2024 ili waanze mwaka mpya na maradhi dah!

Kuwa makini na afya yako au tumia kondomu.
 
Huwezi amini, muda huu jamaa na pisi kali yake ndio wanamalizia kuambukizana ukimwi, gono, kaswende UTI sugu kwa styles kama zote na wengine wanajipanga kufanya hivyo leo jioni na usiku wa mwaka mpya2024 ili waanze mwaka mpya na maradhi dah!

kuwa makini na afya yako au tumia kondom.
Muhimu ni condom na kutozama chumvini.
 
Mimi ninavyoelewa Mapenzi ni hitaji la kimwili kwa watu wote wa jinsia zote na haliepukiki cha msingi ni kuwa makini na kuepuka ngono zembe, Kama hamjapima au humuelewi afya yake zana ni muhimu. CHUNGA AFYA YAKO NA MAISHA YAKO.
 
Mkuu tafadhali itisha press conference uambie wananchi mafanikio ya CHAPUTA kwa mwaka huu 2023 na nini matarajio kwa 2024. Pia wadau wangependa kujua sherehe za kuaga mwaka kitaifa kama CHAPUTA mnazifanyia wapi?
sishauri mtu aingie CHAPUTA, hasa kama unakaa Tabata
Utabaka
 
Sasa wakianza 2024 na maradhi wewe inakusumbua nini?
Acha kutoa ushauri wa kitoto kwa watu wazima!
 
Kwamba siku ya sikukuu hisia zinatakiwa zife kabisa
ngono zinafanyika kizembe mno tena kwa kukamiana sana kwa mazingatio duni mno ya afya.....

Mtu anaweza kua yupo ata kwenye dozi lakini sikukuu anapuuza dozi na kugambeka na mbususu anapiga dah!!!
 
Back
Top Bottom