Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
- Thread starter
- #21
siku za sikukuu ngono zinafanyika kizembe mno tena kwa kukamiana sana kwa mazingatio duni mno ya afya.....Kwamba siku ya sikukuu hisia zinatakiwa zife kabisa
Mtu anaweza kua yupo ata kwenye dozi lakini sikukuu anapuuza dozi na kugambeka na mbususu anapiga dah
katika familia na ukoo wenu sihamjawahi kuuguza mwenye ukimwi kwahiyo ni vigumu kuona usumbufu wa kuuguza...Sasa wakianza 2024 na maradhi wewe inakusumbua nini?
Acha kutoa ushauri wa kitoto kwa watu wazima!
Lakini pia katika utoto ndipo twajifunza vyema sana ndugu muelewa....