Sambinyakwe kitololo
JF-Expert Member
- Nov 15, 2022
- 2,419
- 2,940
Kabla video haijafunguka niliona hii comment nikagundua Ni video gani, Ina ka muda hio videoKwanza alikuwa anaongea na simu, akagonga gari la mbele ambalo liliona hatari kwa mbele likafunga breki za ghfla. Kisha akatanua! Alichokipata tunaomba Mwenyezi amnusuru kama yu hai.
Hapa suala la udereva wa kujihami haukuwepo kabisa.
Dash cam iyo.Huyo anayerecord si yupo ndani ya hiohio gari
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
KabisaHaraka siku zote haijawahi kuwa salama
Kuna gari zinashawishi overtake ya aina hiiHawa jamaa kama wamepona wana Mungu sana. Mara zote tunakumbushana kuwa Highway sio sehemu ya mchezo. Hii overtake ambayo inafanywa kwa mtindo wa "Tailing" madhara yake ni kuwa hutaona mbele na wa mbele yako ni rahisi sana kukuuza. Keep your heads up, make sure unaona mnyooko ndio unatoa gari.
HAKUNA. Hata siku moja.Kuna gari zinashawishi overtake ya aina hii
Kama unaunga, ingia kwenye nafasi aliyotoka yeye then uangalie tena mbele. Sio uunge mazima ulowee hukoIla hii kawaida kwenye foleni mmoja akitoka kawaida kumuungia sema ndio hivyo huwa tuna bet tu sababu mbele huoni, ni sawa kuovateki kwenye kilima yaani Mungu tu anatunusuru.
Hahahahah jamaa anamwambia oya kuna gari ndio dah. 🤣🤣🤣 Kakurupuka kalitoa zima zimaIwapo dereva angekuwa makini, na kuangalia japo taa ya gari ya mbele yake, japo ali_overatake kimakosa, still angeweza kupunguza mwendo, na kuwa salama /kurudi upande wake sahihi.
View attachment 2471047
Eti anachungulia kama usalama upo???
Hizo overtake ndio huwa siwezagi fanya yani hata ikitokea huwa nawahi kujibanza kwenye gari ya kwanza nilioikata kisha naskilizia hadi basi limalize nione mbele ndio natoka tena. 😀Overtake inahitaji timing sana, uzoefu na ushap wa maamuzi ya ghafla
Dereva kamuuza mwenzie 🤣 kamchomesha yani madereva sio watu. Navigator ndio anaanza kudedi hapo dereva kakimbiza body yeye asiumie ila cha ajabu anakutana na basi nalo limechochora kwahio hatoboi 🤣🤣🤣Huyo alokua ananyosha kidole na baadhi wa nyuma yake hawawezi pona maana wamepigwa double kick, labda dereva
Kwahio speed ilikuwa haiwezekani sababu huwezi simama na gear namba 5 ndio maana kaanza kulipiga lorry la mbele yake then kukwepa akakutana na basi limekwepa ajali kwa hio kinaumana kama kawaida.Mfano kungekuwa na gari linakuja mbele then wa mbele yake akawahi haraka kurudi kushoto ni lzm akutane nayo uso KWA uso labda wa kushoto kwako awe muungwana awahi kucheza na breki Ili upate haraka nafasi ya kuingia kushoto mbele yake.
Huyo mwehu ana Mungu sana kwa sababu kwa style hio ikitokea Emergency lazma uishe. Gari ikiwa ina overtake lazma uchochee speed sasa imagine mwenzio wa mbele kaminya breki ghafla wewe unakwepaje na huoni hata mbele huko kukoje🤣🤣🤣!Ukitaka kushuhudia overtaking za madereva vichaa njoo DAR - MORO hapa kuna madereva Wana mioyo ya chuma hawajui namna nyingine zaidi ya kukaa upande wa kulia Tu nakumbuka mwaka Jana maeneo ya ruvu kuna mwendawazimu mmoja na premio yake alikuwa anaovertake kama huyo jamaa kwenye clip.
Yule kichaa alikuwa anatoa gari hata mwenye V8 anaogopa lkn jamaa hivyohivyo anatanua na hatukumuona tena Hadi naingia morogoro
Hili swali wengi huwaga hawawazi. Mtu anaovertake sababu tu kaona mwenzie ana overtake. Unakuta mtu kaunga tu ghafla. Kwa gari ndogo mkifatana sio mbaya visibility inakuwepo ila Kufata lorry kwa mtindo huo ni balaa.Kabla huja overtake jiulize, kwanini naovateki? Je mbele naona vizuri umbali gani? Je mistari inaruhusu kuovateki?
Sababu kubwa ni kua na sub standard roads.View attachment 2471049
Kwa Tanzania ukiwa road we jua tuu , nusu ni maiti nusu u mzima , haijalishi wewe ndo unaendesha na ni mzoefu au unaendeshwa na mtu .... Ikibidi kila unapokuwa barabarani Acha wosia
Ni janga Kama ilivyo ukimwi na Covid kule China
Unasema kwa mfano wakati ni kitu halisi.Mfano kungekuwa na gari linakuja mbele then wa mbele yake akawahi haraka kurudi kushoto ni lzm akutane nayo uso KWA uso labda wa kushoto kwako awe muungwana awahi kucheza na breki Ili upate haraka nafasi ya kuingia kushoto mbele yake.
Hatari what happened wanakosoa wengine wamesahau umakini wao, wanaendesha kwa kumtegemea alie mbele yao.Hawa jamaa kama wamepona wana Mungu sana. Mara zote tunakumbushana kuwa Highway sio sehemu ya mchezo. Hii overtake ambayo inafanywa kwa mtindo wa "Tailing" madhara yake ni kuwa hutaona mbele na wa mbele yako ni rahisi sana kukuuza. Keep your heads up, make sure unaona mnyooko ndio unatoa gari.
Kwanza hio ajali huyu wa huku ni gari gani ni kubwa ya abiria? Au ndio ajali ya abood!!Iwapo dereva angekuwa makini, na kuangalia japo taa ya gari ya mbele yake, japo ali_overatake kimakosa, still angeweza kupunguza mwendo, na kuwa salama /kurudi upande wake sahihi.
View attachment 2471047
Eti anachungulia kama usalama upo???
Tunatakiwa tuwe na nijia kama ya Ubungo kibaha ambayo ni inter-regions. Nimesikia wanataka waijenge hadi Tunduma nadhani itakuwa safi. Kunakuwa na 6 lanes 2 zinakuwa standard halafu moja inakuwa express way ya kulipia watu wafunguke hadi basi.Sababu kubwa ni kua na sub standard roads.