Sambinyakwe kitololo
JF-Expert Member
- Nov 15, 2022
- 2,419
- 2,940
Kabla video haijafunguka niliona hii comment nikagundua Ni video gani, Ina ka muda hio videoKwanza alikuwa anaongea na simu, akagonga gari la mbele ambalo liliona hatari kwa mbele likafunga breki za ghfla. Kisha akatanua! Alichokipata tunaomba Mwenyezi amnusuru kama yu hai.
Hapa suala la udereva wa kujihami haukuwepo kabisa.