Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Roho ya mauti ni mbaya sana, kabla hujaingia kwenye mahusiano na mtu, jitahidi umjue.
Jua atleast mahusiano yake matatu nyuma yaliishaje, yalikuwaje?
Kuna mtu ukiingia naye tu kwenye mahusiano, unaanza kuugua, kazi zinaharibika, biashara zinakufa, ufukara unaingia na mambo yote kuyumba.
Hebu pitia mfano huu:-
Luka 20.
29Basi palikuwepo ndugu saba. Yule wa kwanza akaoa, akafa bila kuzaa mtoto. 30Kisha yule wa pili akamwoa huyo mjane, naye akafa bila mtoto, 31naye wa tatu pia akamwoa. Vivyo hivyo ndugu wote saba wakawa wamemwoa huyo mwanamke, na wote wakafa pasipo yeyote kupata mtoto. 32Mwishowe, yule mwanamke naye akafa. 33Sasa basi, siku ya ufufuo huyo mwanamke atakuwa mke wa nani, maana aliolewa na ndugu wote saba?”
Ukiangalia mfano hapo juu ndio utaelewa. Huyo dada alikuwa na roho ya mauti. Kila mwanaume aliye lala naye alikuwa anakufa.