Jihadhari, unataka kumuoa nani? Kuna watu wana roho ya mauti ukigusa tu, mauti inakufuata

Well said bro Roho ya mauti na uharibifu vunafanya kazi kwa ushirkiano
 
True story......kuna mwanamke nshawahi kuwa nae kimahusiano kila akija kulala kwangu tukakutana usiku ni lazima niote kundi la watu wanaenda kuzika wanapita karibu yangu

Na muda mwingine wanataka kuniingiza kwenye jeneza kilazima tulikuja kuachana na ndoto hizo zikakoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…