Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
-
- #41
Walikuwa na sukariWhat comes around goes around!
Ukiwa na kumbukumbu, miaka ya zamani kuwa watu walikuwa na donda ndugu-kinga zikiwa zimepungua, mtu haponi kidonda hadi umauti.
Kadiri ninavyoongezeka umri ndio ninavyozidi kuyadharau haya maisha tuyaonayo ni ya kisasa. Babu zetu walikuwa sahihi sanaVile miaka hii watu tunaokotana tu mwisho ndo hivyo
Itaishaje?Sort of, ila najua hii story itavyoisha
Hii ina ukweli.Vijana waoe kwa tahadhari.Roho ya mauti ni mbaya sana, kabla hujaingia kwenye mahusiano na mtu, jitahidi umjue.
Jua atleast mahusiano yake matatu nyuma yaliishaje, yalikuwaje?
Kuna mtu ukiingia naye tu kwenye mahusiano, unaanza kuugua, kazi zinaharibika, biashara zinakufa, ufukara unaingia na mambo yote kuyumba.
Hebu pitia mfano huu:-
Luka 20.
29Basi palikuwepo ndugu saba. Yule wa kwanza akaoa, akafa bila kuzaa mtoto. 30Kisha yule wa pili akamwoa huyo mjane, naye akafa bila mtoto, 31naye wa tatu pia akamwoa. Vivyo hivyo ndugu wote saba wakawa wamemwoa huyo mwanamke, na wote wakafa pasipo yeyote kupata mtoto. 32Mwishowe, yule mwanamke naye akafa. 33Sasa basi, siku ya ufufuo huyo mwanamke atakuwa mke wa nani, maana aliolewa na ndugu wote saba?”
Ukiangalia mfano hapo juu ndio utaelewa. Huyo dada alikuwa na roho ya mauti. Kila mwanaume aliye lala naye alikuwa anakufa.
Ndio maana wazee wetu walisema kosea vyote lakini sio ndoa, kuoa ama kuolewaHii ina ukweli.Vijana waoe kwa tahadhari.
Haya matatizo mara zote ni ya kiroho. Mpaka afanyiwe ukombozi ndipo atasimama tenaNna class mate mmoja ndoa tatu chali Mbili masela walikata Moto kiajabu akaapa hatoolewa Tena ila kulingana na umri akarudi kwenye mstari akaolewa ila haikudumu wakatengana na mwamba hakufa.
Siku yakalipuka madudu yakasema haoleki na atakeyemuoa atafirisika ,ataumwa, atapagawa Yani vitafanyika vya kila namna ili kumtenganisha Mana Ni mke wao ( Demons) so haoleki na akioleka wakishindwa kuwatenganisha muoaji anarudi mavumbini.
#MIKONO YA WATU WENYE WIVU
Aisee! Kwann hukumuoa mkuu? Ungekuwa mtamu pia.Hata wenye Bahati wapo pia, Nilikuwa kwenye mahusiano na Dada mmoja mzuri sana, Ni dada mcha Mungu, toka nimekiwa nae Mambo yangu yalinyooka kama rula, ila sikutaka kuwekeza kwake sabubu ni ile mbegu ya Mächämë ni full mpalestina. Mama mpalestina na baba mpalestina Nikaingiza upepo
Ila yule mwanamke ana nyota ya bahati sana. kila kitu nilichonacho leo kina connection sana na tulivyokuwa wapenzi
alikuja kuolewa na jamaa mmoja choka mbaya nae mambo yakanyooka saivi wamekuwa watamu balaaaa
Mambo yangu yakiharibika tuu, Gia ya kwanza ni kuomba appointment nigongee unyumba, baada ya hapo kila kitu mwake.
Mhusika anawezaje jitambua ili afanyiwe maombi?Nna class mate mmoja ndoa tatu chali Mbili masela walikata Moto kiajabu akaapa hatoolewa Tena ila kulingana na umri akarudi kwenye mstari akaolewa ila haikudumu wakatengana na mwamba hakufa.
Siku yakalipuka madudu yakasema haoleki na atakeyemuoa atafirisika ,ataumwa, atapagawa Yani vitafanyika vya kila namna ili kumtenganisha Mana Ni mke wao ( Demons) so haoleki na akioleka wakishindwa kuwatenganisha muoaji anarudi mavumbini.
#MIKONO YA WATU WENYE WIVU
Wewe ni Mimi kabisa aiseHata wenye Bahati wapo pia, Nilikuwa kwenye mahusiano na Dada mmoja mzuri sana, Ni dada mcha Mungu, toka nimekiwa nae Mambo yangu yalinyooka kama rula, ila sikutaka kuwekeza kwake sabubu ni ile mbegu ya Mächämë ni full mpalestina. Mama mpalestina na baba mpalestina Nikaingiza upepo
Ila yule mwanamke ana nyota ya bahati sana. kila kitu nilichonacho leo kina connection sana na tulivyokuwa wapenzi
alikuja kuolewa na jamaa mmoja choka mbaya nae mambo yakanyooka saivi wamekuwa watamu balaaaa
Mambo yangu yakiharibika tuu, Gia ya kwanza ni kuomba appointment nigongee unyumba, baada ya hapo kila kitu mwake.
ProveHuenda ikawa wewe ndio mkosi wenyewe
Yamekuwa hayo?????Prove