MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
HayaMungu ni cheo/hadhi. Jina lake ni Yesu.
JESUS IS LORD&SAVIOR
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HayaMungu ni cheo/hadhi. Jina lake ni Yesu.
JESUS IS LORD&SAVIOR
Mbinguni nitaenda, nina Yesu moyoni, wala siigizi. na kwa matusi uliyonitukana, nakusamehe bure, Mungu akurehemu.Wewe mpumbavu hutaenda mbinguni kwa sababu za kingese sana. Sababu kuu ni kujiona mtakatifu wakati ni kenge fulani tu huko mtaani kwenu. Huo uongo kwamba nimeiba avatar unakufaidisha nini?
Kabisaa!Hahahahahaha...umeona eeh
ni moto kabisa unaonekana juu ya kichwa chake, kwa ufupi ni kwamba alikuwa anatumiwa na Mungu kweli, ila mwishoni aliteleza na Mungu akamchukua chap ili kuokoa roho yake. hakuna mtumishi mwenye Nguvu katika kizazi hiki kama aliyofikia yeye, uamsho mkubwa sana ulitokea kupitia yeye, shida ni pale alipozidiwa kete na adui, akateleza kuanza kufundisha fundisho potofu la Eliya, na hapa ndio unaona umuhimu wa kusoma Neno la Mungu mno wakati wote, ili kama ukipungukiwa hekima ya Roho basi Mungu atumie Neno lililopo moyoni mwako (ulilolisoma) kukuelewesha.Picha ya ndimi Iko wapi aongeze mfuasi chap!
Alikuwa ni Eliya kweli...Malaki 4...ina mjumbe tofauti na malaki 3...malaki 4 inamtaja kwamba baada ya mjumbe huyu kurudisha mioyo ya watoto iwageukie baba zao..Dunia itateketezwa baada ya huyo kupita..hii ni tofauti na malaki 3..ambayo inataja Yohana mbatizaji ambaye aliuandaa ujumbe wa kuja kwake Kristo kwa mara ya kwanza isipokuwa malaki 4 inamtaja mjumbe anayeandaa watu kwa ajili ya ujio wa kristo mara ya pili kukifuatiwa na ile dhiki kuu...hvyo wengi mnachanganya hayo maandikolakini wanashindwa kuelewa hili jambo, na wanaamini yeye ndiye eliya, na hawajui eliya alikuwa anatakiwa kuja kufanya nini. ajabu ni kwamba, wanamwita ni eliya na wakati huohuo wanaamini wanamwamini Yesu, kivipi sasa kwamba mtangulizi wa Yesu aje miaka 2000 baada ya Yesu kuwepo duniani? kuna mpare mmoja nimeona anazunguka nchi nzima kufungua haya makanisa, na ili kupata wafuasi amekuja na mtindo kuyaita makanisa ya wanaoamini kuokoka ni makanisa ya malkia wa zinaa. hajui hili neno William alilitaja kwa ajili ya nini.
alitokea mtumishi mmoja anaitwa Kathlyn Kulhman, huyu ndiye aliyekuwepo kabla ya kina Benny Hinn na wengine aliibuka sana enzi zeke, yeye alipoona mtu mwingine anakuja kupata umaarufu, bahati mbaya akaanza kuhubiri kwamba wanawake wasihubiri kabisa, hao wanaohubiri ni malkia wa zinaa ili kuua kabisa imani kwa wahubiri wanawake, ni bahati mbaya hata baada ya kufanya kazi kwa uzuri mwishoni alianza kupotoka, ashukuriwe Mungu aliyeokoa roho yake lakini.
ndugu yangu, hakuna eliya wawili kwenye malaki, Yesu mwenyewe alitoa ufafanuzi kwamba Yohana mbatizaji ndiye alikuwa eliya. sasa, wewe unasema yule mchungaji ni eliya, na siloam nao wanasema munuo ni eliya. mbona mmepotoka ninyi wahubiri wa uongo?Alikuwa ni Eliya kweli...Malaki 4...ina mjumbe tofauti na malaki 3...malaki 4 inamtaja kwamba baada ya mjumbe huyu kurudisha mioyo ya watoto iwageukie baba zao..Dunia itateketezwa baada ya huyo kupita..hii ni tofauti na malaki 3..ambayo inataja Yohana mbatizaji ambaye aliuandaa ujumbe wa kuja kwake Kristo kwa mara ya kwanza isipokuwa malaki 4 inamtaja mjumbe anayeandaa watu kwa ajili ya ujio wa kristo mara ya pili kukifuatiwa na ile dhiki kuu...hvyo wengi mnachanganya hayo maandiko
Turudi katika maandiko brother...malak 4 na malaki 3 ukiangalia wajumbe hawa wapo katika nyakati tofauti...labda utafite sababu nyingine isipokuwa hapo...si mtu mmoja...tazama tu je alipokuja Yohana dunia iliteketezwa?. Jibu ni hapana bali malaki 3 haioneshi uangamivu wowote..huyu ndiye Yohana hasa...bali huyo wa malaki 4..atakaporejesha mioyo ya watoto iwatazame baba zao..ni ujumbe wa kuturudisha katika maandiko...na baada ya huyo hukumu itafuata...ukiamgalia vema Ni Ndugu William Marrion Branham...fuatilia kanda zake nawe utaon tu..hasa Muhuri wa Mungu,Alama ya Mnyama, pamoja na Nyakati saba za kanisa... Hakika kulingana na neno la Mungu hakuna uongo hapondugu yangu, hakuna eliya wawili kwenye malaki, Yesu mwenyewe alitoa ufafanuzi kwamba Yohana mbatizaji ndiye alikuwa eliya. sasa, wewe unasema yule mchungaji ni eliya, na siloam nao wanasema munuo ni eliya. mbona mmepotoka ninyi wahubiri wa uongo?
Yet, hao wote walikuja kabla ya Yesu, na Yesu alipokuja akasema Yohana Mbatizaji ndiye alikuwa Eliya. Kulikuwa na eliya wangapi sasa?Turudi katika maandiko brother...malak 4 na malaki 3 ukiangalia wajumbe hawa wapo katika nyakati tofauti...labda utafite sababu nyingine isipokuwa hapo...si mtu mmoja...tazama tu je alipokuja Yohana dunia iliteketezwa?. Jibu ni hapana bali malaki 3 haioneshi uangamivu wowote..huyu ndiye Yohana hasa...bali huyo wa malaki 4..atakaporejesha mioyo ya watoto iwatazame baba zao..ni ujumbe wa kuturudisha katika maandiko...na baada ya huyo hukumu itafuata...ukiamgalia vema Ni Ndugu William Marrion Branham...fuatilia kanda zake nawe utaon tu..hasa Muhuri wa Mungu,Alama ya Mnyama, pamoja na Nyakati saba za kanisa... Hakika kulingana na neno la Mungu hakuna uongo hapo
Mkuu Fundisho potofu la Eliya nilipi?ni moto kabisa unaonekana juu ya kichwa chake, kwa ufupi ni kwamba alikuwa anatumiwa na Mungu kweli, ila mwishoni aliteleza na Mungu akamchukua chap ili kuokoa roho yake. hakuna mtumishi mwenye Nguvu katika kizazi hiki kama aliyofikia yeye, uamsho mkubwa sana ulitokea kupitia yeye, shida ni pale alipozidiwa kete na adui, akateleza kuanza kufundisha fundisho potofu la Eliya, na hapa ndio unaona umuhimu wa kusoma Neno la Mungu mno wakati wote, ili kama ukipungukiwa hekima ya Roho basi Mungu atumie Neno lililopo moyoni mwako (ulilolisoma) kukuelewesha.
watu wa Mungu huongozwa na Roho Mtakatifu, lakini si muda wote, wakati mwingine huwa wanaenda kimwili kabisa, wao ni binadamu kama sisi, wanafanya makosa sometimes kama sisi, ni wadhaifu, sasa shida ukishakuwa mtu wa Mungu umetangaza vita na shetani, ukifungua mlango tu anakusambaratisha chap, ndio maana tunatakiwa kuwaombea mno na sio kuwakebehi. katika harakati za vita, ukiteleza ukatenda dhambi au ukashindwa kumsikiliza Roho huwa anakwazika anakaa pembeni, hapo unabaki wewe kama wewe, sasa kama hata Neno huna moyoni, Mungu anashindwa akusaidieje sasa, husaidiki kwa njia zile ambazo huwa anazitumia, Mungu ana principles zake. kwa hiyo tusome Neno mno likae mioyoni mwetu ili hata pale tutakapopitia weakness fulani Neno lililopo moyoni liwe msaada. huyu sasa bahati mbaya hakwenda shule na hakuwa na ufahamu wa Neno la Mungu vya kutosha, alikuwa anaoperate kwa nguvu za Roho Mtakatifu tu, na siku akija kuteleza Roho akakaa pembeni kidogo (labda kwa kuona hasikilizwi) basi anabaki peke yake na Neno moyoni hana, ndio akaanza kufundisha mapotofu tena kwa kulazimisha hata baada ya Gordon Lindsay kumshauri mno akawa hasikilizi hata washauri. Ashukuriwe Mungu aliwaonyesha watumishi wengine kwamba amemrehemu na amemuondoa ili aponye roho yake manake angeendelea kuishi hata roho yake isingepona. ni neema hiyo.
HUYO mhubiri ilifika alifika mahali akajiita yeye ndiye Eliya aliyetabiriwa. ila Yesu alisema Eliya aliyetabiriwa ni Yohana Mbatizaji. hilo ndilo tunajadili hapa.Mkuu Fundisho potofu la Eliya nilipi?
Sawa nimekuelewa mkuu.HUYO mhubiri ilifika alifika mahali akajiita yeye ndiye Eliya aliyetabiriwa. ila Yesu alisema Eliya aliyetabiriwa ni Yohana Mbatizaji. hilo ndilo tunajadili hapa.
Hapana, Biblia ilisema huyu Eliya atakapokuja dunia itateketezwa kwa moto... Swali, baada ya Yohana mbatizaji kuja dunia iliteketezwa kwa moto? Jibu hapana, utagundua hapo malaki 4 sio Yohana mbatizaji, Inamtaja kuwa ni mtu mwingine amabaye atakapowarudisha watu waelekeze mioyo yao kwa baba zao ndipo mwisho utakapowadia yaani hukumu ambapo dunia itateketezwa kwa moto... Ukiangalia mafundisho ya Bro. Branham anasisitiza turudi katika ibada za kanisa la kwanza, kuacha na kuunda madhehebu ambayo wanawakwamisha watu wasiipokee kweli yote ya Biblia kwa kujiwekea kanuni za imani,wakiruhusu wanawake wahubiri mimbarani, ubatizo feki n.k.... Kwa umakini kabisa na Mungu akusaidie brother, malaki 3 inamzungumzia Yohana mbatizaji, hiyo ni kweli maana qlikuja kuiandaa njia ya Masihi yaani kristo ila malaki nne inamzungumzia mtu mwingine ina maana kuwa Brother Branham ni Mtu mwenye Roho kama ya Eliya tu, baada ya yeye ndipo mwisho utakapofuata yaani dunia kuteketezwa kwa moto... Hebu soma vitabu vyake kwenye recommendations nilizokupa mwanzo halafu uone wewe mwenyewe utofauti... Hakika yeye si kitu ila mtu kama mimi na wewe isipokuwa alikuwa ni chombo cha Mungu kutangaza ujumbe wa nyakati hizi za mwisho... Hzo picha ambazo watu huziweka ukutani hawaziabudu,hawaziaujudu wala hamna maana yoyote ispokuwa kuthibitisha yule malaika aliyemtikea kwa mfano wa nguzo kichwani ikimzungua wakati mmoja akiwa anahubiri.. picha ile imethibitishwa hadi na FBI kuwa ule haukuwa mwanga wa kawaida... Anyway haina maana ila ni jinsi tu Mungu alivyojithibisha kupitia yeye. Nimeiattach hiyo hapo chiniYet, hao wote walikuja kabla ya Yesu, na Yesu alipokuja akasema Yohana Mbatizaji ndiye alikuwa Eliya. Kulikuwa na eliya wangapi sasa?
Branham amekufa 1960s kwa ajali, hadi leo dunia imeshaisha? ili tujue pengine yeye alikuwa nabii wa ukingoni.Hapana, Biblia ilisema huyu Eliya atakapokuja dunia itateketezwa kwa moto... Swali, baada ya Yohana mbatizaji kuja dunia iliteketezwa kwa moto? Jibu hapana, utagundua hapo malaki 4 sio Yohana mbatizaji, Inamtaja kuwa ni mtu mwingine amabaye atakapowarudisha watu waelekeze mioyo yao kwa baba zao ndipo mwisho utakapowadia yaani hukumu ambapo dunia itateketezwa kwa moto... Ukiangalia mafundisho ya Bro. Branham anasisitiza turudi katika ibada za kanisa la kwanza, kuacha na kuunda madhehebu ambayo wanawakwamisha watu wasiipokee kweli yote ya Biblia kwa kujiwekea kanuni za imani,wakiruhusu wanawake wahubiri mimbarani, ubatizo feki n.k.... Kwa umakini kabisa na Mungu akusaidie brother, malaki 3 inamzungumzia Yohana mbatizaji, hiyo ni kweli maana qlikuja kuiandaa njia ya Masihi yaani kristo ila malaki nne inamzungumzia mtu mwingine ina maana kuwa Brother Branham ni Mtu mwenye Roho kama ya Eliya tu, baada ya yeye ndipo mwisho utakapofuata yaani dunia kuteketezwa kwa moto... Hebu soma vitabu vyake kwenye recommendations nilizokupa mwanzo halafu uone wewe mwenyewe utofauti... Hakika yeye si kitu ila mtu kama mimi na wewe isipokuwa alikuwa ni chombo cha Mungu kutangaza ujumbe wa nyakati hizi za mwisho... Hzo picha ambazo watu huziweka ukutani hawaziabudu,hawaziaujudu wala hamna maana yoyote ispokuwa kuthibitisha yule malaika aliyemtikea kwa mfano wa nguzo kichwani ikimzungua wakati mmoja akiwa anahubiri.. picha ile imethibitishwa hadi na FBI kuwa ule haukuwa mwanga wa kawaida... Anyway haina maana ila ni jinsi tu Mungu alivyojithibisha kupitia yeye. Nimeiattach hiyo hapo chini
Huu ndio ujinga unalishwa nimeona kwa macho yangu mwamposa akisema shika maji uliyokuja nayo kutoka nyumbani ,wewe wa nyumbani shika maji yako,sasa ukiwa nyumbani mwamposa anakuuzia maji ?Kuna tofauti gani kati ya aliyokuwa akiyafanya William Branham na hawa Televangelists kina Mwamposa,"Kuhani" Richard Mussa,mwingira,Kakobe , hawa mitume feki n.k.?
Hao wote mnawaabudu kwa kufuata uongo wanaowauzia kwa thamani ndogo ya pesa ambayo hupelekea kuwatajirisha matumbo yao.
kwahiyo unaponywa na Yesu au maji? hivi kweli mtu mzima na akili yako umekaa unaamini mwamposa ana nguvu za Mungu? mtafunguka lini akili?Huu ndio ujinga unalishwa nimeona kwa macho yangu mwamposa akisema shika maji uliyokuja nayo kutoka nyumbani ,wewe wa nyumbani shika maji yako,sasa ukiwa nyumbani mwamposa anakuuzia maji ?