ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Wakuu naona dhana ya urembo kama vile imejikita kwenye rangi nyeupe zaidi kuliko rangi nyinginezo hasa nyeusi.
Hivi mathalani mrembo wa Tanzania aliyeibuka kuwa mshindi angekuwa pure black coloured angeweza kutwaa ubingwa?
Hoja hii imeibuliwa na Mkenya alisema Dihan aliyecuanganya damu na mtu mweupe (Baba Mlebanoni)
Anasema uchotara wake ndio umempa Ushindi .
Swali Je rangi ya Ngozi na kujifananisha na Wazungu inaamua Wanaoitwa washindi wa mashindano ya urimbwende?
Angalizo:
Hii sio mada ya ubahuzi wa Rangi au inayokusydiwa kujadili ubahuzi wa rangi Bali kujua mantiki ,tafsiri na uhusiano wa uzuri kulingana na rangi ya Ngozi.