Jihan angekuwa na rangi nyeusi kabisa aangeibuka mshindi wa Miss Grand?

Jihan angekuwa na rangi nyeusi kabisa aangeibuka mshindi wa Miss Grand?

Kilicho mfanya ashinde sio rangi bali ni ujibuji mzuri wa maswali. Umiss sio sura ni akili. Kama huna akili huwezi kushinda umiss. Hata Angekua mweusi tungempigia kura angeshinda.
 
Kama umekaa na watu wa Races tofauti tofauti utakubaliana namimi kua watu weusi ni wabaguzi kuzidi races nyingine..
Labda kama ulikaa na wahaya na wanyakusa au wasukuma wenzio sawa..
Lakini watu weupe wote ni wabaguzi mnoo achana na hawa wanaokuja na NGO zao watakuonesha kujali kweli kweli ili uingie kwenye mfumo wao..
Watu wanabagua watu mpaka kwkenye ibada..
Kuna vio papa amegoma kabisa kumpa mkono mweusi..
Kuna waarabu kuswali nao hawataki hata kugusanisha miguu na mweusi,
Hao wahindi ndo usiseme.
 
Yani Mwanaume mzima na ndevu zako unaleta habari za Nilisikia?
Kauli ya ''Nilisikia'' ni kauli ya mtu mbea,mwenye chuki na asiyejiamini,

We mzee hua una chuki za kijinga sana,badala ya kujikita kwenye mada,umerukia mambo mengine kabisa ili kujifariji na chuki inayo kutesa ndani ya nafsi yako,

GET A LIFE.
Get a life upunguze kelele
 
Labda kama ulikaa na wahaya na wanyakusa au wasukuma wenzio sawa..
Lakini watu weupe wote ni wabaguzi mnoo achana na hawa wanaokuja na NGO zao watakuonesha kujali kweli kweli ili uingie kwenye mfumo wao..
Watu wanabagua watu mpaka kwkenye ibada..
Kuna vio papa amegoma kabisa kumpa mkono mweusi..
Kuna waarabu kuswali nao hawataki hata kugusanisha miguu na mweusi,
Hao wahindi ndo usiseme.
Kutaja tu wahaya wanyaksusa na wasukuma wenzangu ndio inaonesha kiasi gani umekua mbaguzi bila kujijua..

Watu weusi huwa hatujikubali wenyewe tunajiona inferior mnatukuza sana jamii za watu wengine ndio maana wana tudharau,,sisi si ndio tuna ndoto za kuoa wazungu hili tupate watoto colored??

Ubaguzi upo kila sehemu hata idea ya makabila us" versus "them" nayo ni form ya ubaguzi.

Usiseme tu Pope me nimeona kwenye daladala mchaga kakataa kukaa seat moja na masai.

Or posts za kusema wanawake wa kichaga humu huzioni?huo sio ubaguzi?
 
Wakuu naona dhana ya urembo kama vile imejikita kwenye rangi nyeupe zaidi kuliko rangi nyinginezo hasa nyeusi.

Hivi mathalani mrembo wa Tanzania aliyeibuka kuwa mshindi angekuwa pure black coloured angeweza kutwaa ubingwa?

Hoja hii imeibuliwa na Mkenya alisema Dihan aliyecuanganya damu na mtu mweupe (Baba Mlebanoni)

Anasema uchotara wake ndio umempa Ushindi .

Swali Je rangi ya Ngozi na kujifananisha na Wazungu inaamua Wanaoitwa washindi wa mashindano ya urimbwende?
View attachment 3688923


Angalizo:
Hii sio mada ya ubahuzi wa Rangi au inayokusydiwa kujadili ubahuzi wa rangi Bali kujua mantiki ,tafsiri na uhusiano wa uzuri kulingana na rangi ya Ngozi.
Sasa tutapimaje kama angekuwa mweusi tii asingeshinda?
 
Back
Top Bottom