ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Achana na ubahuzi wa rangiWakuu naona dhana ya urembo kama vile imejikita kwenye rangi nyeupe zaidi kuliko rangi nyinginezo hasa nyeusi.
Hivi mathalani mrembo wa Tanzania aliyeibuka kuwa mshindi angekuwa pure black coloured angeweza kutwaa ubingwa?
Hoja hii imeibuliwa na Mkenya alisema Dihan aliyecuanganya damu na mtu mweupe (Baba Mlebanoni)
Anasema uchotara wake ndio umempa Ushindi .
Swali Je rangi ya Ngozi na kujifananisha na Wazungu inaamua Wanaoitwa washindi wa mashindano ya urimbwende?
View attachment 3688923
Jadili hoja Mkuu,sisi weusi tunaweza kushinda au urembo ni mpak uwe mweupe?Achana na ubahuzi wa rangi
Kwa nini inakuwa hivyo?hilo swali ungewauliza muslim regime waliompeleka kutuwalkilisha, btw muslims wa tanzagiza akianza maisha mke wake wa kwanza siku zote huwa ni mweusi akitajirika mke wa pili lzm ni arab/mmanga na kuanzia viongozi mpaka makabwela, wote wako hivyo fanya tu kauchunguzi kidogo utaona ...
Hii sio mada ya ubahuzi wa rangiKeep racism out
Na lile vazi lake la kichawi, baya kama roho ya samiaWakuu naona dhana ya urembo kama vile imejikita kwenye rangi nyeupe zaidi kuliko rangi nyinginezo hasa nyeusi.
Hivi mathalani mrembo wa Tanzania aliyeibuka kuwa mshindi angekuwa pure black coloured angeweza kutwaa ubingwa?
Hoja hii imeibuliwa na Mkenya alisema Dihan aliyecuanganya damu na mtu mweupe (Baba Mlebanoni)
Anasema uchotara wake ndio umempa Ushindi .
Swali Je rangi ya Ngozi na kujifananisha na Wazungu inaamua Wanaoitwa washindi wa mashindano ya urimbwende?
View attachment 3688923
Kwa nini inakuwa hivyo?
Je tunakubaliana na mtoa mada?inferiority complex, hata karume mke wake alikuwa arab, raisi Mwinyi awamu ya 2 mke wake arab, hata hawa wengine pia nilisikia walioa/kuzaa na arabs usisahahu hata raisi wetu ambaye kwangu ni black woman kimuonekano atleast lkn alisema anaenda oman kwa wajomba zake ...
Je tunakubaliana na mtoa mada?
Kwa hiyo urembo ni kuwa mweupe au?Angekuwa mweusi asingepewa shindi
Yap.Kwa hiyo urembo ni kuwa mweupe au?
Kuna ubaguzi wa rangi kwenye hiyo sektaKwa hiyo urembo ni kuwa mweupe au?
Yani Mwanaume mzima na ndevu zako unaleta habari za Nilisikia?inferiority complex, hata karume mke wake alikuwa arab, raisi Mwinyi awamu ya 2 mke wake arab, hata hawa wengine pia nilisikia walioa/kuzaa na arabs usisahahu hata raisi wetu ambaye kwangu ni black woman kimuonekano at least lkn alisema anaenda oman kwa wajomba zake ...
Sio kweliKama umekaa na watu wa Races tofauti tofauti utakubaliana namimi kua watu weusi ni wabaguzi kuzidi races nyingine..