Jihan angekuwa na rangi nyeusi kabisa aangeibuka mshindi wa Miss Grand?

Kilicho mfanya ashinde sio rangi bali ni ujibuji mzuri wa maswali. Umiss sio sura ni akili. Kama huna akili huwezi kushinda umiss. Hata Angekua mweusi tungempigia kura angeshinda.
 
Kama umekaa na watu wa Races tofauti tofauti utakubaliana namimi kua watu weusi ni wabaguzi kuzidi races nyingine..
Labda kama ulikaa na wahaya na wanyakusa au wasukuma wenzio sawa..
Lakini watu weupe wote ni wabaguzi mnoo achana na hawa wanaokuja na NGO zao watakuonesha kujali kweli kweli ili uingie kwenye mfumo wao..
Watu wanabagua watu mpaka kwkenye ibada..
Kuna vio papa amegoma kabisa kumpa mkono mweusi..
Kuna waarabu kuswali nao hawataki hata kugusanisha miguu na mweusi,
Hao wahindi ndo usiseme.
 
Get a life upunguze kelele
 
Kutaja tu wahaya wanyaksusa na wasukuma wenzangu ndio inaonesha kiasi gani umekua mbaguzi bila kujijua..

Watu weusi huwa hatujikubali wenyewe tunajiona inferior mnatukuza sana jamii za watu wengine ndio maana wana tudharau,,sisi si ndio tuna ndoto za kuoa wazungu hili tupate watoto colored??

Ubaguzi upo kila sehemu hata idea ya makabila us" versus "them" nayo ni form ya ubaguzi.

Usiseme tu Pope me nimeona kwenye daladala mchaga kakataa kukaa seat moja na masai.

Or posts za kusema wanawake wa kichaga humu huzioni?huo sio ubaguzi?
 
Sasa tutapimaje kama angekuwa mweusi tii asingeshinda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…