jihan karudi nyumbani, sasa wenye chuki na unity wajaze nafasi zilizo wazi

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,030
Reaction score
61,298
Hahaha, hii ndiyo Tanzania bana kubabeki, raha tupu! Tumempokea Jihan, tumeshangilia ushindi wake na kusema huyu ni wetu, Tanzania imetisha Wale wasiopenda unity watajaza nafasi zilizo wazi wenyewe sisi tumepitisha, na tunampenda mwenzetu pamoja na nchi yetu.

Sisi tunaitangaza Tanzania kwa furaha, tunatamba nayo, tunakula maisha, tunapata pesa, tuna kazi, tuna uhuru, tuna familia nzuri tunakunywa pombe tuna mipango kwa kifupi tunazo karibu zote Maisha matamu, chai ipo, wali upo, samaki wapo matunda yapo na sasa na taji la Miss Grand International juu Ukiwa bado unaona Watanzania kuungana ni shida, pole yako aibu utaiona mwenyewe! Hongera Jihan, hongera Tanzania

naandika toka singapore vacation
 
We mwanamke au mwanaume?
 
ok.🐒
 
Jamiiforum ina mashoga wengi Sana.....mipasho kama hii Kwa mtoto wa kiume, hakika wewe sio mzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…