Jiheshimu wewe, jielewe

Jiheshimu wewe, jielewe

Yani unavoongea utafikiri wasioponda starehe hawafi
 
Unajua hapa duniani watu wanajionaga wajanja sana,ila hamana lolote.

Piga picha upo kwa nani,hii dunia ni yako?
Unakula tu,unafakamia tu na kuponda vistarehe vyako,and then baade unaanza kulia.

Hii dunia ni ya Mungu,tena Mungu Baba wa Mbinguni.

Wewe cheua tu,hivyo vistarehe,kuna siku utakula kichapo cha kifo and as we all know hakunaga majanja katika kifo,utalabuliwa kifo cha aibu na Mungu siku moja halafu katikati ya mauti na kifo yaani hapo katikati kabla roho yako haijaondoka utalia kiama,sisi tulio soma na shule ikakaa kichwani tunamjua Mungu vizuri.
Angalia usije ukawa funzo.
Asante.
One man down jealous ni muda tu time will tell
 
Weuweeeee usintishe. Nasema usintishe
 
Back
Top Bottom