ArushaJiji gani Hilo?
MwanzaJiji gani Hilo?
Nilidhani Stoke city kumbe hao!Arusha
Alaaa hawana tofauti kabisa na Bristol city!Mwanza
Wanaopata nafasi wanasubiri maagizo TU kutoka mamlaka ya teuzi. Wakipewa amri ya kuhakikisha kuwa....... itakuwa. Wenyewe hawajui kuwa mpira ni ajira kwa watu wengi sana, unapunguza uhalifu na magonjwa ya akili pia.Mleta mada unahisi tatizo hasa linatokana na nini?
Mwanza na Arusha akuna watu wa fitna za mpira,mpira wa Bongo ni fitna.Mwanza na Arusha kuna shida gani??
Arusha ni kitovu cha utalii, hapahitajiki oyaoya za wazimu wa soka.Arusha
Huna ujualo, Simba na Yanga wakienda singida kucheza na singida big stars mashabiki watakula na watarudi kuku wa kienyeji, mafuta ya alizeti, asali na mademu wao wazuri wanapata kama sio wachumba basi watahongwa, achilia mbali watu wa migahawa na guest houses. Kiongozi wa Jiji anatakiwa kufikiria multiplayer effects za mpira kwenye uchumi wa watu wake.kukiwa na timu nzuri za mpira wa miguu ndo maendeleo
wazazi somesheni watoto
Bange nyingi huko.Arusha
Nakubaliana na wewe kwa asilimia kubwaMwanza usimba na uyanga umejaa tele kuliko hata kariakoo kwenyewe, hakuna timu ita survive mwanza