Jiji la Adis ababa sasa halishikiki Africa! Mtanzania atamani maendeleo hayo yangekua yanatokea Tanzania

Jiji la Adis ababa sasa halishikiki Africa! Mtanzania atamani maendeleo hayo yangekua yanatokea Tanzania

Mr Chromium

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2020
Posts
2,761
Reaction score
3,835
Kutoka kwa kijana machachari Abi ahamed Jiji la Adis Ababa limegeuzwa kuwa jiji la kimataifa kwa kuliwekea international standard

Abiy anadai Lengo ni kuifanya Adis ababa kitovu cha usasa na miundo mbinu ambayo haipo popote pale Africa.
Asilimia 90% ya vitu vilivyotumika katika ujenzi vinatokana na wa ethiopia.

Kutana humu ndan na mtanzania mtaalam wa masalia ya kale akidai anachokiona Ethiopia angetaman na kingetokea Tanzania.


View: https://youtu.be/YftLYwrgoAU?si=8LdDO6HBRrdU9uN4
 
Na waethiopia wengi wanatamani maisha ya tz si unaona barabara n.k
mkuu ebu elewa , Kuwa na jiji zuri hakuna maana Waethippia wote watakua na pesa!

unavoambiwa Nigeria ni tajiri Africa nzima kwa GDP lakin wanigeria ndio wanahangaika uko libya na nchi nyingine kuzamia kutafuta maisha.

Ethiopia ina raia milion 120 na uchumi ni wa kawaida hivo hauwez kuwa support raia n wengi kuliko kipato
 
Ukizungumzia Mji kama Mji wa Addis Ababa ni Habari nyingine kwa sasa
Maisha Tu ya Waethiopia ndio Shida.
Mji Unajengwa Kweli kweli Miundombinu Yauhakika Kuliko Dar
 
Ukizungumzia Mji kama Mji wa Addis Ababa ni Habari nyingine kwa sasa
Maisha Tu ya Waethiopia ndio Shida.
Mji Unajengwa Kweli kweli Miundombinu Yauhakika Kuliko Dar
Mi nimeangalia youtube nimeshtuka!!
Hawa jamaa ni noma
Tunawadharau kwa njaa, na wahamiaji haramu ila suala la Adis Ababa ni habari nyingine
 
Back
Top Bottom