Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,761
- 3,835
Umeiona hiyo video, haya siyo ya zamani ni maboresho ya sasaLabda kama haujawahi kufika Addis Ababa
Achana na Adis ababa unayoijua hii ni renovation!!Labda kama haujawahi kufika Addis Ababa. Ukitoka nje ya Airport Zaid ya jengo la AU na UNECA hamna jipya
Kwan tanzania hakuna wanaokimbia??mbona raia wake wanakimbia nchi yao!
Nimeishi Addis Ababa. Kupata nyumba yenye hadhi ilikua mtitiAchana na Adis ababa unayoijua hii ni renovation!!
Hiyo vidoe ina masaa manne
Rudi utembeleee
kwan kuna ubaya kusifia kizuriHuyo mtanzania aache tamaa
ndio wamevibomoa vijumba vya hovyo mjiniNimeishi Addis Ababa. Kupata nyumba yenye hadhi ilikua mtiti
Hakuna ubaya kusifia ila asitamani Mali ya waethiopiakwan kuna ubaya kusifia kizuri
kutamani mafanikio si dhambi!!Hakuna ubaya kusifia ila asitamani Mali ya waethiopia
ni vitu vinavyoonekanaHakuna ubaya kusifia ila asitamani Mali ya waethiopia
Na waethiopia wengi wanatamani maisha ya tz si unaona barabara n.kni vitu vinavyoonekana
mkuu ebu elewa , Kuwa na jiji zuri hakuna maana Waethippia wote watakua na pesa!Na waethiopia wengi wanatamani maisha ya tz si unaona barabara n.k
Labda bole 😄Nimeishi Addis Ababa. Kupata nyumba yenye hadhi ilikua mtiti
Ndio naniLabda bole 😄
Ova
Kule serikali yao imezidiwaNa waethiopia wengi wanatamani maisha ya tz si unaona barabara n.k
Mi nimeangalia youtube nimeshtuka!!Ukizungumzia Mji kama Mji wa Addis Ababa ni Habari nyingine kwa sasa
Maisha Tu ya Waethiopia ndio Shida.
Mji Unajengwa Kweli kweli Miundombinu Yauhakika Kuliko Dar