Ndege Gani unawaowaongelea hapa ? Au kunguru ,Limekau kabisa....watu hawana maji, ardhi ni kavu Sana...miti na maua inakauka, ndege nao wamepotea siwaoni....
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Acha utoto wwsafi sana, turudi kule Rufiji tuendelee kukaka miti kwa wingi mno
Maji yapo mengi ila yana budgets,mpaka viongozi waridhike ndo upate wewe kapuku 😂😂😂Yaani Maji ni hakuna
Wanatakiwa wabadilishe maji ya chumvi yatumikeHuko si kuna bahari
Kwani hao Viongozi hawawezi kuzindua huo mradi wa Maji bila kumwaga maji chini?02 November 2022
Mfumo wa Maji kutoka Kigamboni kwenda mjini Kati, Temeke, Buguruni DSM
Waziri Mkuu ambana mkurugenzi wa DAWASA kuhusu kukamilika kwa mradi wa maji Kigamboni jijini Dar es Salaam
Mradi wa Kigamboni kupeleka maji awamu ya kwanza maeneo ya Mjini Kati (City centre), Tuangoma, Mbagala , Keko Mkapa stadium, Temeke, Buguruni huku maeneo mengine ya Dar es Salaam yatafuatia ... baada ya mpango kazi na utafiti kukamilika ili DAWASA iweze kuwafikia kwa huduma hiyo kutoka chanzo cha maji ya visima vya Kigamboni .... waziri mkuu asisitiza maji yatoke kuanzia.....
Source : Mwananchi digital
RC Amos Makala akiwa ameongozana na viongozi wa CCM mkoa wakiwemo bi. Kate Kamba, mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Bw. Amos Makala amesema amelivalia njuga suala la maji hivyo Kigamboni atapiga kambi mpaka kieleweke ili maji yaanze kuwafikia wana wa Darisalama...28 October 2022
Dar es Salaam, Tanzania
Regional Commissioner Amos Makala - "Ahadi ni deni, nitakuja jumanne kuona kama mradi umekamilika "
RC Amos Makala akiwa ameongozana na viongozi wa CCM mkoa wakiwemo bi. Kate Kamba, mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Bw. Amos Makala amesema amelivalia njuga suala la maji hivyo Kigamboni atapiga kambi mpaka kieleweke ili maji yaanze kuwafikia wana wa Darisalama...
Source : Dar es Salaam RS Digital
Kuwapa matumaini ya maji ya kigamboni watu wa dar ni kuwapa matumaini hewa kwakuwa kama yatawahi kufika basi the earliest ni January 2023
Hongera,kijijini pazuriNjooni moshi huku water la kutosha umeme haukatiki hovyo
I love my village so much
Kunya kunaokoa maji kivipi?Kunya bia okoa maji.
Nilikua naota boss.Kunya kunaokoa maji kivipi?
Dogo ban imeisha? Karibu
ChimbaSo far tumetumia 2% tu ya maji ya chini ya ardhi. Inasikitisha sana kuona jiji linakauka tungali tuna maji mengi chini ya ardhi
Kwa akili hizi tuna safari ndefu sana aseeChimba
Maji si mengi chini mkuu,chimba unywe...maji ya ardhini' yakichimbwa dar itazama,baharini dar chini Kuna maji baridi mengi,Ila si busara kuchimba,yanaleta balanceKwa akili hizi tuna safari ndefu sana asee