Jiji la Dar es Salaam limekauka, hakuna maji

Jiji la Dar es Salaam limekauka, hakuna maji

Ndiyo,yanaweka balance dar isizame,ukiyanyonya ni sawa na kutoa hewa kwenye puto..kitatokea nini!?
Kama ni hivyo majiji ya China kama Beijing, Shanghai, Shenzhen, Macau na Hong Kong yangekuwa yameshazama. Maana ndio yanaongoza duniani kwa uchimbaji wa maji ardhini duniani
 
Kama ni hivyo majiji ya China kama Beijing, Shanghai, Shenzhen, Macau na Hong Kong yangekuwa yameshazama. Maana ndio yanaongoza duniani kwa uchimbaji wa maji ardhini duniani
Kwa hiyo muundo/profile ya ardhi na miamba inafanana kote duniani
 
Kwa hiyo muundo/profile ya ardhi na miamba inafanana kote duniani
Juzi waziri wa maji Aweso amemkabidhi katibu mkuu wa wizara ya maji mitambo ya kuchimba visima vya kutosha

Wizara wameshajiridhisha baada ya kufanya Environmental Impact Assessment (EIA) na wamewakabidhi jukumu hilo Wakala wa Uchimbaji Visima na Ujenzi wa Mabwawa (DDCA)

Hilo linawezekana mwanetu inamankusweke usihofu jiji la maraha halitazama

Au unasemaje Extrovert kuna siku niliisoma comment yako uliiandika kwa uchungu sana kuwa umeoga maji ya chumvi tena unaishi karibu na city centre, nilicheka sana ila nilikuelewa sana mkuu
 
mbagala na chanika maji yakisima ukichimba ft 8 unapata maji safi ya kunjwa ....hata jua kali liwe vp
Kwa kweli mbagala imebarikiwa Sana. Huku hata habari ya mgao wa maji tunasikia tu mtandaoni
 
dar kama dom tu maji hamna na yaliyopo chumviiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii hahaaaa hatari sana wandugu , ila poleni sana mliipenda wenyewe na wavimbe wapasuke pwapwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, wacha waisome namba eeh wanasoma nambaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa fisiemu mbele kwa mbeleeee
 
Back
Top Bottom