Jiji la Dar es Salaam ndio nguzo kuu kwenye kufanikiwa, vijana kimbilieni huko

Dar hata ukipiga chafya tu unapata hela, kwa sababu kuna mzunguko mkubwa sana wa hela
 
Ina maana watanzania wote milioni 61 waje Dar kutoboa?
Wangapi wapo Dar hawajatoboa

Ina maana matajiri nchi hii wapo Dar tu?
 
kimsingi dar ndio mpango mzima kwa tanzania kwingine ufala mwingi uwanga nakadhalika, hata sehemu za kula bata adimu huko mikoani ushamba mwingiiiii.
 
wenzako tumetobozea huku huku wilayani dar tunakuja tu kula hela mwisho wa mwezi
 
Nina mpango nihamie dar ila nataka kwanza niwe na makazi ya kwangu sio yakupanga
 
Nikweli mkoani pagumu mwenyewe nilitoka huko Kuja mikoani kujitafuta ila nakula za uso ngoja nirudi Dar kabla mtaji haujakata *****
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…