Noti bandia
JF-Expert Member
- May 3, 2020
- 2,684
- 4,315
🤣🤣🤣 Lakini swali langu lingejibiwa na mtu anayeishi chanika angenipa jibu nzuri. Dar ikijaa basi Pwani itafuata Kwa hiyo msiwe na shaka. Mimi kama ningepewa nipendekeze ningesema hv,,, dar imejaa Kwa sababu inavinyumba ushenzi vimemaliza eneo. Dar bado nafasi ni kubwa sanaswali zuri;
natoa mfano, "hii ni noti bandia, lakini ile pale ni noti bandia halali"
umeona ni ipi hapo inayovutia na itakayoaminika zaidi.
tuseme ni kuboresha brand tu😀
hiyo nayo ni sawa pia, hata kiramani Dar imezungukwa na Pwani.