Tetesi: Jiji la Dar kutanuliwa

Tetesi: Jiji la Dar kutanuliwa

swali zuri;
natoa mfano, "hii ni noti bandia, lakini ile pale ni noti bandia halali"

umeona ni ipi hapo inayovutia na itakayoaminika zaidi.

tuseme ni kuboresha brand tu😀

hiyo nayo ni sawa pia, hata kiramani Dar imezungukwa na Pwani.
🤣🤣🤣 Lakini swali langu lingejibiwa na mtu anayeishi chanika angenipa jibu nzuri. Dar ikijaa basi Pwani itafuata Kwa hiyo msiwe na shaka. Mimi kama ningepewa nipendekeze ningesema hv,,, dar imejaa Kwa sababu inavinyumba ushenzi vimemaliza eneo. Dar bado nafasi ni kubwa sana
 
kwa hiyo hao watu wenye vinyumba ushenzi waondolewe wakapewe ardhi kibiti?
 
waislamu wanaharibu hii nchi, kwanza lilipaswa kupunguzwa, maji hakuna, no sewage system wakazi wanafungulia vyoo mvua zikinyesha, zima moto tangia mkoloni anayeishi tegeta nyumba ikishika moto asubiri fire isafiri 20 km kuja kuzima, public transport ni nightmare huwezi hata kuvaa vizuri ukatumia public transport utafika kama umetokea vitani sasa haya yote kwa mji uliopo waislamu wameshindwa kusolve halafu wanafikiria kuongeza ukubwa wa slums? hii nchi inaongozwa na very low iq people …
Acha udini ww mgala
Huo uislam unahusikaje hapo?
Ina maana mji mzima umejaa waislam?
 
Jiji la Dar ni dogo mno, watu wamebanana hapo katikati hata hewa safi hakuna wala mpango mji.
Ilitakiwa Pwani nzima iwe ndani ya Dar.

Ona majiji ya wenzetu kama Nairobi, Lagos etc yalivyo makubwa, ndo mana hatuwezi kuyafikia kimaendeleo
Hakuna mji uko rafu kama lagos na hakuna mji wenye slums nyingi kama nairobi
 
Haya mambo tunapenda kuyafanya kwa ugumu..., mfano kama hio treni ya mwendokasi ingekuwa mwendokasi kweli Dar moro ikachukua muda mfupi na kuwa nauli ya basi la kawaida watu wangeweza kuishi morogoro na kuja kufanya shughuli zao Dar....

Ila what do I know....., Miradi ishakuwa ndio MIRADI (Source of Income kwa Watu)
 
waislamu wanaharibu hii nchi, kwanza lilipaswa kupunguzwa, maji hakuna, no sewage system wakazi wanafungulia vyoo mvua zikinyesha, zima moto tangia mkoloni anayeishi tegeta nyumba ikishika moto asubiri fire isafiri 20 km kuja kuzima, public transport ni nightmare huwezi hata kuvaa vizuri ukatumia public transport utafika kama umetokea vitani sasa haya yote kwa mji uliopo waislamu wameshindwa kusolve halafu wanafikiria kuongeza ukubwa wa slums? hii nchi inaongozwa na very low iq people …

Kwa hiyo umasikini unahusikaje na Uisilamu?

Umasikini ni kilema ambacho hakichagui dini.
 
Back
Top Bottom