Noti bandia
JF-Expert Member
- May 3, 2020
- 2,684
- 4,315
🤣🤣🤣 Lakini swali langu lingejibiwa na mtu anayeishi chanika angenipa jibu nzuri. Dar ikijaa basi Pwani itafuata Kwa hiyo msiwe na shaka. Mimi kama ningepewa nipendekeze ningesema hv,,, dar imejaa Kwa sababu inavinyumba ushenzi vimemaliza eneo. Dar bado nafasi ni kubwa sanaswali zuri;
natoa mfano, "hii ni noti bandia, lakini ile pale ni noti bandia halali"
umeona ni ipi hapo inayovutia na itakayoaminika zaidi.
tuseme ni kuboresha brand tu😀
hiyo nayo ni sawa pia, hata kiramani Dar imezungukwa na Pwani.
kwa hiyo hao watu wenye vinyumba ushenzi waondolewe wakapewe ardhi kibiti?🤣🤣🤣 Lakini swali langu lingejibiwa na mtu anayeishi chanika angenipa jibu nzuri. Dar ikijaa basi Pwani itafuata Kwa hiyo msiwe na shaka. Mimi kama ningepewa nipendekeze ningesema hv,,, dar imejaa Kwa sababu inavinyumba ushenzi vimemaliza eneo. Dar bado nafasi ni kubwa sana
Acha udini ww mgalawaislamu wanaharibu hii nchi, kwanza lilipaswa kupunguzwa, maji hakuna, no sewage system wakazi wanafungulia vyoo mvua zikinyesha, zima moto tangia mkoloni anayeishi tegeta nyumba ikishika moto asubiri fire isafiri 20 km kuja kuzima, public transport ni nightmare huwezi hata kuvaa vizuri ukatumia public transport utafika kama umetokea vitani sasa haya yote kwa mji uliopo waislamu wameshindwa kusolve halafu wanafikiria kuongeza ukubwa wa slums? hii nchi inaongozwa na very low iq people …
Hakuna namna nyingine zaidi ya hiyo.kwa hiyo hao watu wenye vinyumba ushenzi waondolewe wakapewe ardhi kibiti?
Hakuna mji uko rafu kama lagos na hakuna mji wenye slums nyingi kama nairobiJiji la Dar ni dogo mno, watu wamebanana hapo katikati hata hewa safi hakuna wala mpango mji.
Ilitakiwa Pwani nzima iwe ndani ya Dar.
Ona majiji ya wenzetu kama Nairobi, Lagos etc yalivyo makubwa, ndo mana hatuwezi kuyafikia kimaendeleo
Viongozi wetu hawana upeo wa kuona mbali hilo ni tatizo kubwa sanaWamesha chelewa maana tayari zimeshaungana kitambo
Walifanya makosa kuutenganisha maana zamani ulikuwa ni mkoa mmoja ulikuwa unaitwa cost region
wamechelewa Sana..1. Katika kuhimiza uwekezaji jiji la Dar es Salaam kutanuliwa kujumuisha wilaya za Mkuranga, Kibaha, Bagamoyo na Kisarawe.
2. Pia, uwanja wa ndege wa kimataifa na bandari kujengwa Bagamoyo.
Ngoja nikaongeze heka nyingine huko maana kumekucha mapema sanaLango la jiji kuwa Chalinze
waislamu wanaharibu hii nchi, kwanza lilipaswa kupunguzwa, maji hakuna, no sewage system wakazi wanafungulia vyoo mvua zikinyesha, zima moto tangia mkoloni anayeishi tegeta nyumba ikishika moto asubiri fire isafiri 20 km kuja kuzima, public transport ni nightmare huwezi hata kuvaa vizuri ukatumia public transport utafika kama umetokea vitani sasa haya yote kwa mji uliopo waislamu wameshindwa kusolve halafu wanafikiria kuongeza ukubwa wa slums? hii nchi inaongozwa na very low iq people …
Kwa hiyo, Mafia, Rufiji na Kibiti zinaenda wapi?1. Katika kuhimiza uwekezaji jiji la Dar es Salaam kutanuliwa kujumuisha wilaya za Mkuranga, Kibaha, Bagamoyo na Kisarawe.
2. Pia, uwanja wa ndege wa kimataifa na bandari kujengwa Bagamoyo.
Huko mbali. Mwambie aende Nairobi kwa Waingereza.Lagos kuna takataka na mnuko wa samaki Dar itasubiri.
1. Katika kuhimiza uwekezaji jiji la Dar es Salaam kutanuliwa kujumuisha wilaya za Mkuranga, Kibaha, Bagamoyo na Kisarawe.
2. Pia, uwanja wa ndege wa kimataifa na bandari kujengwa Bagamoyo.
Mwambie mzee Mbowe akuletee internetTuapanua jiji, lkn tumesahau kupunguza umaskini. Jiji gani hili ambalo watu wanaishi kwenye makazi duni na internet inakatwa na mzungu ?