Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
KivipHayo yote ni maeneo ya Dar, wanajitoa ufahamu tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KivipHayo yote ni maeneo ya Dar, wanajitoa ufahamu tu
KijiographiaKivip
Kama vile nakuelewa alafu sikuelewi. Kwani huwezi kwenda kujenga kisarawe mpaka paitwe Dar, inamaana pakiitwa Dar hapo kisarawe itapunguza au kuongeza Nini? Tuanzie hapo kwanzaJiji la Dar ni dogo mno, watu wamebanana hapo katikati hata hewa safi hakuna wala mpango mji.
Ilitakiwa Pwani nzima iwe ndani ya Dar.
Ona majiji ya wenzetu kama Nairobi, Lagos etc yalivyo makubwa, ndo mana hatuwezi kuyafikia kimaendeleo
Unaongelea jiji la Dar au mkoa wa Dar...1. Katika kuhimiza uwekezaji jiji la Dar es Salaam kutanuliwa kujumuisha wilaya za Mkuranga, Kibaha, Bagamoyo na Kisarawe.
2. Pia, uwanja wa ndege wa kimataifana bandari kujengwa BagamJiji
😀😀Kama vile nakuelewa alafu sikuelewi. Kwani huwezi kwenda kujenga kisarawe mpaka paitwe Dar, inamaana pakiitwa Dar hapo kisarawe itapunguza au kuongeza Nini? Tuanzie hapo kwanza
Za vijiweni.1. Katika kuhimiza uwekezaji jiji la Dar es Salaam kutanuliwa kujumuisha wilaya za Mkuranga, Kibaha, Bagamoyo na Kisarawe.
2. Pia, uwanja wa ndege wa kimataifana bandari kujengwa Bagamoyo.

Pwani nzima kuwa ndani ya dar tafsiri yake ni nini? Kwanini isiwe pwani nzima iwe na uchumi unaofanana na Dar? Watu wamebanana dar sababu ya jina dar au sababu ya uchumi wa dar? Fursa na miundombinu zinazopatikana hapo Dar zikielekezwa mikoa ya jirani napo uchumi utakua watu wataamia.Jiji la Dar ni dogo mno, watu wamebanana hapo katikati hata hewa safi hakuna wala mpango mji.
Ilitakiwa Pwani nzima iwe ndani ya Dar
Is not about gharama ila vipaombele wataki huo havikuwa upanuzi wa jiji, by then nchi iko kwenye post uhuru ndio inajitafuta sasa. what happen ni lack of vision, hawakurajia litakuwa jiji kuu kibiasharasijui ni kwa nini serikali yetu hawakuliona hili mapema wakalitanua.
walikuwa wanaogopa gharama? "Sidhani"
ukiwa na jiji lenye eneo kubwa hata mapato nayo yanakuwa makubwa
Kwann Dar isimezwe na PwaniJiji la Dar ni dogo mno, watu wamebanana hapo katikati hata hewa safi hakuna wala mpango mji.
Ilitakiwa Pwani nzima iwe ndani ya Dar.
Ona majiji ya wenzetu kama Nairobi, Lagos etc yalivyo makubwa, ndo mana hatuwezi kuyafikia kimaendeleo
Dodoma ndo baaas tena.1. Katika kuhimiza uwekezaji jiji la Dar es Salaam kutanuliwa kujumuisha wilaya za Mkuranga, Kibaha, Bagamoyo na Kisarawe.
2. Pia, uwanja wa ndege wa kimataifana bandari kujengwa Bagamoyo.
swali zuri;Kama vile nakuelewa alafu sikuelewi. Kwani huwezi kwenda kujenga kisarawe mpaka paitwe Dar, inamaana pakiitwa Dar hapo kisarawe itapunguza au kuongeza Nini? Tuanzie hapo kwanza
swali zuri;Kama vile nakuelewa alafu sikuelewi. Kwani huwezi kwenda kujenga kisarawe mpaka paitwe Dar, inamaana pakiitwa Dar hapo kisarawe itapunguza au kuongeza Nini? Tuanzie hapo kwanza
hiyo nayo ni sawa pia, hata kiramani Dar imezungukwa na Pwani.Kwann Dar isimezwe na Pwani
Una laanawaislamu wanaharibu hii nchi, kwanza lilipaswa kupunguzwa, maji hakuna, no sewage system wakazi wanafungulia vyoo mvua zikinyesha, zima moto tangia mkoloni anayeishi tegeta nyumba ikishika moto asubiri fire isafiri 20 km kuja kuzima, public transport ni nightmare huwezi hata kuvaa vizuri ukatumia public transport utafika kama umetokea vitani sasa haya yote kwa mji uliopo waislamu wameshindwa kusolve halafu wanafikiria kuongeza ukubwa wa slums? hii nchi inaongozwa na very low iq people …