Ndio Mkuu, maana watu wengine wana nyumba Dar na Pwani, hivyo wanataka wajulikane wapo DARKwahiyo wakaazi wa Mlandizi watakuwa wakaazi wa Jiji la Dar !.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio Mkuu, maana watu wengine wana nyumba Dar na Pwani, hivyo wanataka wajulikane wapo DARKwahiyo wakaazi wa Mlandizi watakuwa wakaazi wa Jiji la Dar !.
Siko humu kuandika vya kukufurahisha wewe mkuuAkili hizi ndo ulitumia kujibia Essay ?😂
wawe makini wasije wakalipasuaKwahiyo wanalipanua jiji
Okay…. Keyword ni kupanua
Hii ndio fursa ya kununua mashamba pwani1. Katika kuhimiza uwekezaji jiji la Dar es Salaam kutanuliwa kujumuisha wilaya za Mkuranga, Kibaha, Bagamoyo na Kisarawe.
2. Pia, uwanja wa ndege wa kimataifa na bandari kujengwa Bagamoyo.
**Forthcoming Kisarawe Digital City.
Kwani jiji lenyewe linasemajewawe makini wasije wakalipasua
Source ya trust me ndio ipi,tupia link peruziperuziSource; trust me bro?
Not really naibobi ni jiji dogo sana kieneoJiji la Dar ni dogo mno, watu wamebanana hapo katikati hata hewa safi hakuna wala mpango mji.
Ilitakiwa Pwani nzima iwe ndani ya Dar.
Ona majiji ya wenzetu kama Nairobi, Lagos etc yalivyo makubwa, ndo mana hatuwezi kuyafikia kimaendeleo.
walimbukeni wanakwambia Dar kubwa, "panda helcopter uone kama hauzunguki Dar nzima ndani ya dakika 20" 😀
Badala ya kupanuwa wajenge sewage pipe kwanza. Ni jambo la aibu jiji kama Dar kuwa na vyo vya kuvuta. Magorofa yote hayo yanasambaza Mavi aridhini sio Sawa.Umefika Cape Town?
Dar inajumliha utawala, mapato nk.Kama vile nakuelewa alafu sikuelewi. Kwani huwezi kwenda kujenga kisarawe mpaka paitwe Dar, inamaana pakiitwa Dar hapo kisarawe itapunguza au kuongeza Nini? Tuanzie hapo kwanza
Wasingeliona nadhani wahahusika wakuu walikuwa na mitizamo Yao ama hawakuwa na elimu ya kutoshasijui ni kwa nini serikali yetu hawakuliona hili mapema wakalitanua.
walikuwa wanaogopa gharama? "Sidhani"
ukiwa na jiji lenye eneo kubwa hata mapato nayo yanakuwa makubwa
Ukisema Dar es Salaam kama jiji wengi hawajui kama utawala uliopita ulifanya nini. Bado akilini watu wanaitazama eneo lote la wilaya tatu za awali, yaani Temeke, Ilala na Kinondoni.Unaongelea jiji la Dar au mkoa wa Dar...
Jiji huwa ni Wilaya moja tu.
Kwa pesa zipi za sisi masikini?Watu wetu wanachelewa sana kufikiri.
Weka barabara Sita Mwenge Bagamoyo.
Weka speed train Dar - Chalinze - Msafara.
Dar - Bagamoyo - Chalinze.
Weka Barabara Sita Dar - Moro.
Weka speed train Dar to Moro via Chalinze.
Pima viwanja na Jenga mji wa kisasa standard Bagamoyo, kopesha watu nyumba, Jenga mji wa kisasa Kibaha, Vigwaza, Chalinze na Morogoro halafu kopesha watu nyumba.
Piga marufuku watu kujenga baadala yake kuwe na estate agents wanaojenga maeneo maalum yaliyopendekezwa na Serikali halafu watu wakopeshwe hizo nyumba, hii iwe Tanzania nzima.
Ndani ya miaka 10 tutakuwa mbali sana, tuache blah blah
Kobazi wanahusika vipi hapo mbona sijaelewa.waislamu wanaharibu hii nchi, kwanza lilipaswa kupunguzwa, maji hakuna, no sewage system wakazi wanafungulia vyoo mvua zikinyesha, zima moto tangia mkoloni anayeishi tegeta nyumba ikishika moto asubiri fire isafiri 20 km kuja kuzima, public transport ni nightmare huwezi hata kuvaa vizuri ukatumia public transport utafika kama umetokea vitani sasa haya yote kwa mji uliopo waislamu wameshindwa kusolve halafu wanafikiria kuongeza ukubwa wa slums? hii nchi inaongozwa na very low iq people …
Siyo Mlandizi tu hadi Ruvu Darajani na Vigwaza (kwangu) ni incoming Daslam areaKwahiyo wakaazi wa Mlandizi watakuwa wakaazi wa Jiji la Dar !.
Well,actually utawala uliopita haukufanya makosa....Ukisema Dar es Salaam kama jiji wengi hawajui kama utawala uliopita ulifanya nini. Bado akilini watu wanaitazama eneo lote la wilaya tatu za awali, yaani Temeke, Ilala na Kinondoni.