Tetesi: Jiji la Dar kutanuliwa

Tetesi: Jiji la Dar kutanuliwa

1. Katika kuhimiza uwekezaji jiji la Dar es Salaam kutanuliwa kujumuisha wilaya za Mkuranga, Kibaha, Bagamoyo na Kisarawe.

2. Pia, uwanja wa ndege wa kimataifa na bandari kujengwa Bagamoyo.

**Forthcoming Kisarawe Digital City.
Una kichaa cha dogi.
 
Dar kama downtown Manhattan New York city
 
Jiji la Dar ni dogo mno, watu wamebanana hapo katikati hata hewa safi hakuna wala mpango mji.
Ilitakiwa Pwani nzima iwe ndani ya Dar.

Ona majiji ya wenzetu kama Nairobi, Lagos etc yalivyo makubwa, ndo mana hatuwezi kuyafikia kimaendeleo.

walimbukeni wanakwambia Dar kubwa, "panda helcopter uone kama hauzunguki Dar nzima ndani ya dakika 20" 😀
Unaifaham Narobi au huwa unasimuliwa? Nairobi ni kubwa???
 
1. Katika kuhimiza uwekezaji jiji la Dar es Salaam kutanuliwa kujumuisha wilaya za Mkuranga, Kibaha, Bagamoyo na Kisarawe.

2. Pia, uwanja wa ndege wa kimataifa na bandari kujengwa Bagamoyo.

**Forthcoming Kisarawe Digital City.
Naona ni wazo zuri kwa maslahi ya nchi
 
1. Katika kuhimiza uwekezaji jiji la Dar es Salaam kutanuliwa kujumuisha wilaya za Mkuranga, Kibaha, Bagamoyo na Kisarawe.

2. Pia, uwanja wa ndege wa kimataifa na bandari kujengwa Bagamoyo.

**Forthcoming Kisarawe Digital City.
Kwahiyo, wanapanua Dar kwa kuiminya Pwani?
 
1. Katika kuhimiza uwekezaji jiji la Dar es Salaam kutanuliwa kujumuisha wilaya za Mkuranga, Kibaha, Bagamoyo na Kisarawe.

2. Pia, uwanja wa ndege wa kimataifa na bandari kujengwa Bagamoyo.

**Forthcoming Kisarawe Digital City.
sawa kwanini wasiingize na chalinze?au chlinze itahamia morogoro ?
 
Back
Top Bottom