Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una kichaa cha dogi.1. Katika kuhimiza uwekezaji jiji la Dar es Salaam kutanuliwa kujumuisha wilaya za Mkuranga, Kibaha, Bagamoyo na Kisarawe.
2. Pia, uwanja wa ndege wa kimataifa na bandari kujengwa Bagamoyo.
**Forthcoming Kisarawe Digital City.
Unaifaham Narobi au huwa unasimuliwa? Nairobi ni kubwa???Jiji la Dar ni dogo mno, watu wamebanana hapo katikati hata hewa safi hakuna wala mpango mji.
Ilitakiwa Pwani nzima iwe ndani ya Dar.
Ona majiji ya wenzetu kama Nairobi, Lagos etc yalivyo makubwa, ndo mana hatuwezi kuyafikia kimaendeleo.
walimbukeni wanakwambia Dar kubwa, "panda helcopter uone kama hauzunguki Dar nzima ndani ya dakika 20" 😀
Kahadithiwa kwenye taarabu BuzaUnaifaham Narobi au huwa unasimuliwa? Nairobi ni kubwa???
Naona ni wazo zuri kwa maslahi ya nchi1. Katika kuhimiza uwekezaji jiji la Dar es Salaam kutanuliwa kujumuisha wilaya za Mkuranga, Kibaha, Bagamoyo na Kisarawe.
2. Pia, uwanja wa ndege wa kimataifa na bandari kujengwa Bagamoyo.
**Forthcoming Kisarawe Digital City.
Makao makuu yawe ikwiriri itapendeza sanaMkoa mpya wa Rufiji
Na Mimi!💪💪💪💪Naunga mkono hoja
Kwahiyo, wanapanua Dar kwa kuiminya Pwani?1. Katika kuhimiza uwekezaji jiji la Dar es Salaam kutanuliwa kujumuisha wilaya za Mkuranga, Kibaha, Bagamoyo na Kisarawe.
2. Pia, uwanja wa ndege wa kimataifa na bandari kujengwa Bagamoyo.
**Forthcoming Kisarawe Digital City.
Pwani ifutwe kabisaKwahiyo, wanapanua Dar kwa kuiminya Pwani?
Kwanini mkubwa?Pwani ifutwe kabisa
Haina mchango wa maanaKwanini mkubwa?
Wamege tu sehemu....sio kuua kabisa pwani ingawa pia ni wazo la kutafakarishaKwanini mkubwa?
sawa kwanini wasiingize na chalinze?au chlinze itahamia morogoro ?1. Katika kuhimiza uwekezaji jiji la Dar es Salaam kutanuliwa kujumuisha wilaya za Mkuranga, Kibaha, Bagamoyo na Kisarawe.
2. Pia, uwanja wa ndege wa kimataifa na bandari kujengwa Bagamoyo.
**Forthcoming Kisarawe Digital City.
Huoni kwamba huo huo mchango ambao siyo wa maana utaingia Dar?Haina mchango wa maana