Uchaguzi 2020 Jiji la Mbeya, Hata kama mnampenda Mbilinyi (Sugu) msimchague. Ili mpate maendeleo chagueni CCM

naunga mkono hoja mkuu mungu akupe afya njema kwa hoja hii .mbeya siyo maskini wale watumwa wa ccm
Sent using Jamii Forums mobile app
 
una matatizo sana uchaguzi ni mioyo ya watu sasa huwezi kuamua mioyo ya watu
 
maendeleo yana vyama
 

Ni ukweli mchungu mkuu, ingawa watu wa Mbeya hupenda kujiamulia mambo yao wenyewe na huwa na misimamo mikali, tabia hii imechangia kuachwa pakubwa kimaendeleo ikilinganishwa na majiji mengine kwa sasa.

Kwa sasa Mbeya hakuna mradi hata mmoja wenye tija unaotekelezwa licha ya kuwa ni kitovu cha mikoa ya nyanda za juu kusini. Aidha, viongozi waliopo hawawezi kubuni mradi wowote wa maana kwa sababu tu za kisiasa.

Ni vigumu kuamini kuwa mkoa hauna supermarket yoyote kubwa na maana ambayo inaweza kutoa huduma hata kwa watalii kupata mahitaji yao ya msingi.

Mbeya inapakana na nchi mbili Zambia na Malawi, ambapo kumekuwa na biashara kati ya hizi nchi lakini ukiangalia mtizamo umewekwa zaidi katika mipaka ya kaskazini na inaonekana ndio kuna biashara kubwa zaidi. Mbeya na ukanda wote unavivutio vingi vya utalii lakini mkazo umewekwa ukanda wa kaskazini na ukanda wa ziwa kwa sasa. Siasa zinaimaliza Mbeya hakuna maendeleo.
 
Mshenzi tu wewe
 
Mjinga sana wewe
 
Mbeya chini ya mh Mbilinyi imezidi kuchanua
Sent using Jamii Forums mobile app
 
hatutaki maendeleo tunamtaka sugu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KABISA. WENYE AKILI WATAKUELEWA. NYUMBUS WONT UNDERSTAND YOU.


 
Unataka tuchague ccm ili tuwe kama

Butiama (Nimrod mkono)ccm
Chato ( Mzee baba)ccm
Kongwa( Ndugai)ccm
Mtera (Lusinde)ccm
Musoma (Mathayo)ccm
Newala (ccm)
Kilindi(ccm)
Bahi(ccm)
Nk

Ndio hao unataka tufanane nao?!

Shame on you!!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…