Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umri umekata kweli ila ndo hvyo amewapangaaaa na wote wamepangika.Sasa Nakadori unakuwaga na arosto kama hizi hutaki kutuleteaaa. Insta imejaa habari za tundu sijui kishimo tushachoka tunataka refreshment sieee.. ila sura ya huyo mishy inaonekana tu ameukataa umri wake
Sisi si mapoyoyo, hivyo kudanganyika ni kawaida tu, si kesi.mnadanganyika kirahisi sana
cocastic hebu dadavua basi huyu mama ilikuwaje akamiliki wanaume wawili wenye vyao wakati sisi hata mmoja hatuna?
hahahaha me nakwambia hivi hata mpiga debe tu shida kupata sasa mwenzetu anamiliki matajiri wawili na anawapost kabisa. jama jama jamaSisi si mapoyoyo, hivyo kudanganyika ni kawaida tu, si kesi.
Ila wakati mwingine sisi ni watu wa kupuuzia unajua kabisa huyu ananipiga fix, ila unafunikka kombe mwanaharamu apite..
Sasa sijui hivi vizee kesi yao ikoje, usikute walikiwa wanajuana kuwa wanakula sehemu moja na 3some ilikuwa inapigwa 😂
Ba!! Somo, mmakonde chi ntu wa kawaida.nmakonde chi ntu wa nchezo nchezo
We mtu mzito hukosi 😂hahahaha me nakwambia hivi hata mpiga debe tu shida kupata sasa mwenzetu anamiliki matajiri wawili na anawapost kabisa. jama jama jama
watoa pole eti james wa mishy...
na mzungu wa watu jee
Hilo ndani ya uwezo wangu, njoo ulete vigezo..ntafutie basiii sina kweliii
Heee makubwaa sasa nashangaa wanavosema eti my friend mara business partner. Business partner whichumri umekata kweli ila ndo hvyo amewapangaaaa na wote wamepangika.
Mishy wapangeeeeeeeeeeeee
sasa na wewe unadhan utasemaje mtu hadi wamezaa kuna ubiznes patna hapo. ni zaidi bwana. kwanini kama mke wa marehem yupo asipewe pole apewe mishy...tyena james wa mishy hahaHeee makubwaa sasa nashangaa wanavosema eti my friend mara business partner. Business partner which
mh mkuu mbona code inakataa inakuja inakataa inakuja....kila ninapoizoom haijiii vizuriiAjuza huyu kabisa..sema nn,hizi ni zile type za yule mke wa aliyekua mgombea wa kile chama chenye asili ya mkoa ulioko kaskazini mwa nchi yetu..ni gold digger mzuri! ILA wa mama wa hivi wanakuaga mafundi sana,sio kitandani tu,mpaka kwenye kamati za ufundi!