Jiji la moto hilii

Jiji la moto hilii

Ila Mimi kama namuelewa mishi hivi, imagine mzungu kapooza anashinda kwenye wheelchair, mishi Ndo huyo yuko kwenye late 40s, unakula anashiba, hamu amalizie wapi? Lazima apate wa kumtuliza maruhani🤣
Basi wanaume hapa wataponda, wanataka wao wakiugua wakiwa hawawezi show mwanamke ugeuke mtawa, wakati mwanamke ukienda kujifungua tu wao wanatafuta michepuko kama 10 hivi🤣
 
Unajua kwanini?? Ndugu uwa wanaona pindi wazazi waliomadopt wakiitwa mbele za haki mali itabaki kwa mtoto asie mtoto, wakati ma mtoni mtoto wa kuadopt anatambulika kabisa ni mtoto wako. sasa hizo sababu huyo mtoto kutambulishwa tena ki mila ni mlolongo mrefu .
Ingekuwa Bongo watoto wa the Wacko Jacko wangetolewa mkuku, hata senti 5 wasingeiona.
 
Mbona unamzeesha hivyo Mboni masimba shougaaa...yani mboni ndo atalingana na huyo bi Mishy?

Huyu naye ni Malaya , halafu sijui li mume lake ni mume bwege kwenye ishu zake za Kuombaomba ufadhili anagongwa sana na jamaa wa marketing.
Kuna ishu ofisi ilifadhili sijui usiku wa taarabu or sth like that.
Jamaa wa marketing alileta hoja ofisi ifadhili mgt ikakataa ikasema kazi zetu hazihusiani na matafrija tena taarabu.
Basi jamaa aliloby huyo hadi akafanikiwa kumpatia pesa na nembo ya ofisi kuonekana kama mmoja wa sponsor wa tukio.
Huyo Dada anagawa sana kumaa Kwa watu wa marketing so as to sponsor her activities.
Kiufupi ni Malaya aliyejificha kwenye kufanya mambo mbalimbali kama kujificha kwenye umalaya wake.
Na huyo mmama sijui mishi ni rafiki yake mkubwa wote ni Malaya tu
 
Wacha bwana, Eto'o
 
Dunia nzito hii. Watu wanajifanya mambo supa ila nyuma ya pazia kuna mazito ukiyafunua huwezi amini. Bora nibaki na mshahara wangu huu mambo ya ma sponsor yanipitie mbali.
 
Kibibi kimewakamata wawili kwa mpigo. [emoji44]

Alikuwa si kibibi alivyo anza nao, kama mna ijua VIRAGO FASHIONS ndio yao!
Huwa wana kwenda kwenye parties pamoja wote watatu bila shida yeyote na wanapendana sana [emoji2956]
Mume mdhungu ni mmarekani!
Anyway Rest In Peace James jamani [emoji22]
 
sasa na wewe unadhan utasemaje mtu hadi wamezaa kuna ubiznes patna hapo. ni zaidi bwana. kwanini kama mke wa marehem yupo asipewe pole apewe mishy...tyena james wa mishy haha

James hana mke ni yeye na Mwanahamisi wake!
 
Duh
Alikuwa si kibibi alivyo anza nao, kama mna ijua VIRAGO FASHIONS ndio yao!
Huwa wana kwenda kwenye parties pamoja wote watatu bila shida yeyote na wanapendana sana [emoji2956]
Mume mdhungu ni mmarekani!
Anyway Rest In Peace James jamani [emoji22]
, hii.. 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom