Jiji la moto hilii

Jiji la moto hilii

Nimewaona kwenye mazishi front kabisa Tom Kisusi, chris Lupembe na Ben Kinyaiya, basi tu machale yakaanza kunicheza ukizingatia huyo anaesemwa mtoto wa marehemu hakupewa kipaumbele kabisa nikiunganisha doti na huyo mzee wa kimarekani mzungu basi kichwa kinazunguka hatariii. Mji huu wa Daslama una mambo mazito sana.
Lupembe si majirani zao hao

S3ma watu walikuwa wengi sana

Kuna watu wengine kitambo hamjaonana mnaonana msibani
Lei nlionana na swaiba wangu wa kitambo Martin tan rose

Ova
 
Ahsante ndio ya dunia, generation ya watoto wa mjini wa 90s na mwanzoni mwa 2000s inaisha pia. Ni wakati wa bongo flava huu..Nilikua sijui kumbe yule mtoto wa kuadopt?? but kwanini wafanye kuadopt?? hapo naanza kumuelewa yule mzee alipofuka msibani kua mtoto hawamtambui.Hatarii sana lakini salama.
 
Bongo Somo la kuadopt bado sana
 
Back
Top Bottom