Jiji la moto hilii

Jiji la moto hilii

Tusipoteze muda na salamu
Kwanza kabisa naomba sana habari za kusoma halafu unaanza kulinganisha na marehemu kwenye uandishi sipendi, kama uko hapa celeb kulinganisha mtu na marehemu unakwama sana.

Haya turudi kwenye hoja ya msingi.....

Mjini kuna msiba wa wa kaka/baba mmoja wa mjini kwa jina james....wenye mji wanadai eti ni mmliki wa escape one (sina uhakika wa hili). Sasa basi kwenye kutoka salamu za pole watanzania wa mjini wakaanza kutoa pole kwa mama mmoja nae wa mjini anajulikana kwa jina la mishy73 ambaye pia ni mke wa mzungu mmoja mzee sana.

Maswali ya wambea ni kwamba inakuwaje mishy aolewe na wanaume wawili? maana hata kwenye picha za IG amekuwa akipost picha akiwa na wanaume wote wawili kwa nyakati tofauti tofauti huku akijinadi kuwa ni kila mmoja ni mumewe.

Picha za mishy na wanaume zake (akiwemo marehemu) zipo chiniView attachment 2504951View attachment 2504952View attachment 2504953
Ni hotspot na mimi basi😀😀
 
Kumbe yule mtoto sio wake
Ukoo umesema hawamtambui .kama ni wake mama wa mtoto afate utaratibu ampeleke kwenye kikao cha ukoo wafanye maamuzi
Duhh jamani wasiwe na roho mbaya.
Basi mishy73 amlee jaman
Na kqeli kuna jambo maana mishy anampost huyo mtoto kwa fujo huko IG kama katumwa vile
 
Mbona alikuwa anafanana nae? Wangemchukua tuu
Huu nao ni mtihani mwingine, uwa ngoma inaanza baada ya mazishi. kufanana tena?? Labda ukoo wanamfahamu zaidi marehemu ndio maana wanakazania mtoto sio wake; na baada ya yule mzee kusema vile basi wakamtenga mtoto hadi jamaa anazikwa. Its so sad tbh, haswa kwa huyo dada aliechanganya madawa kwa mzungu na marehemu.
Wachagga noma yaani hawakumpa kipaumbele hata huyo dada pia kwenye kuweka mashada ya maua. Ndio maana wazungu mazishi yao uwaga wanatamka tu ni Private hakuna watu kuhudhuria.
 
Na wewe mishy sio dada ni bibi
Duh kwa hyo shada lake ataweka baada ya ndugu kuondoka makaburini eeh
Ila mtoto hana hatia wasingemtenga
 
Huu nao ni mtihani mwingine, uwa ngoma inaanza baada ya mazishi. kufanana tena?? Labda ukoo wanamfahamu zaidi marehemu ndio maana wanakazania mtoto sio wake; na baada ya yule mzee kusema vile basi wakamtenga mtoto hadi jamaa anazikwa. Its so sad tbh, haswa kwa huyo dada aliechanganya madawa kwa mzungu na marehemu.
Wachagga noma yaani hawakumpa kipaumbele hata huyo dada pia kwenye kuweka mashada ya maua. Ndio maana wazungu mazishi yao uwaga wanatamka tu ni Private hakuna watu kuhudhuria.
Hivi nini kimesababisha yule mzee kumkataa dogo pale?? Sema mishy nachompenda hana roho ndogo wala hana dhiki.wala hatamind kiivo
Ila naona kacharuka huko insta anarusha picha za mtoto anzia ubatizo.
Nasubiria za mimba na leba
 
Nimewaona kwenye mazishi front kabisa Tom Kisusi, chris Lupembe na Ben Kinyaiya, basi tu machale yakaanza kunicheza ukizingatia huyo anaesemwa mtoto wa marehemu hakupewa kipaumbele kabisa nikiunganisha doti na huyo mzee wa kimarekani mzungu basi kichwa kinazunguka hatariii. Mji huu wa Daslama una mambo mazito sana.
kwamba mzungu alioa wake wawili
 
Hivi nini kimesababisha yule mzee kumkataa dogo pale?? Sema mishy nachompenda hana roho ndogo wala hana dhiki.wala hatamind kiivo
Ila naona kacharuka huko insta anarusha picha za mtoto anzia ubatizo.
Nasubiria za mimba na leba
Kwani alikanwa live live?
 
Back
Top Bottom